Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,521
- 42,659
Kwanini kusoma si kufuta ujinga? Ikiwa ujinga ni hali yakutojua kitu inakuwaje kujua kusoma au kusoma kwa maana ya kupata utaalamu masomoni kusifute ujinga??Naona unajichanganya, nimesema hivi;
Huo ni ujinga kwa "msomi".
Ndiyo maana humu huwa nnasema kusoma si kufuta ujinga.
Haha unachekesha hivi MTU asiyejua sharia akaenda somea sharia na akajua sharia si kufuta ujinga?
Ukiwa mjinga ni mjinga tu hata usome vipi.
Ha ha huwa nakuonya mambo haya ya logic huyawezi bora ungekuwa unachangia tu zile hoja za kishabiki ndo utaweza...
Ujinga hufutwa kwa kujua kitu... Kutokujua kusoma ni ujinga na kujua kusoma ni kufuta ujinga Wa kutojua kusoma...
Binadamu wote huzaliwa wajinga hivyo hufuta ujinga kwa kusoma au kutokusoma...
Mfano Nyani Ngabu kabla ya kusomea udaktari hakujua lolote juu ya udaktari hivyo alikua mjinga kwenye fani ya udaktari but baada ya kusomea udaktari anaondoa ujinga juu ya udaktari...
Last edited by a moderator: