Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
Hawa wasomi kuingia siasa imekuwa shiiidaaaah.....!
Kwani hata logic ya kusema hivyo haiingii akilini, kwani ile hela ya mboga aliwashirikisha wanawake wenziwe?
 
Labda wanawake wa Sweden water kibwengo huyu

:A S wink::A S wink:
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Ha ha haah,,,,,eti ananyanyasika. Arudishe pesa ya escrow.
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Atetewe na wapuzi wenzie
 
Ananyanyasika Halima Mdee ambayo anapigwa vilungu na kubambikwa kesi kwa ajili ya wanyonge , atanyanyasika Tibaijuka ambae mboga peke yaKE NI MILLION 10 kama vile ananunua nyangumi atumie mwaka mzima


Hahaha... hii issue ya hela ya mboga sijaielewa, alimaanisha mboga ya shule au nyumbani?
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Hela si alipiga peke yake au?
 
Profesa anawakumbuka wanawake kwenye dhoruba lakini angeanza kutuelezea kawafanyia nini hadi wamtetee?
 
Wakati mwingine msiongozwe na chuki wakati mnajadili hoja ya aina hii. Tibaijuka kaiba pesa zipi za Escrow? Walioiba mnawafahamu,na mnawaogopa kuwaambia warejeshe pesa zetu walizo gawana Stanbic bank mnabakia kutukana aliye gawiwa pesa halali za hisa zake,akaamua kula na marafiki na ndugu zake!
Pesa upige wewe mboga ule mwenyewe kisha unataka tukutetee siye??!! MAJANGAAA MBONA MAJAANGAAAAA......
 
Kuna kitu kinachonisikitisha ndani ya ccm na serikali yake ambcho hata kama nakufa leo sitokielewa kabisa.hivi inakuaje mtu ambae anapewa ndie anasurubiwa wakati kuna watu walioidhinisha wapo na hawna presha.huu ni unyanyasaji kabisa.saada.ndulu.pinda.prosper mbena.wako wapi na kwa nn hawaojiwi? watu wamekaa kung'ang'ania mtu mmoja tu tibaijuka.ni kwa nn tibaijuka nae anadhalilishwa nae anakubali?kwa nini ucwe muwazi ukaanika ukweli tujue kuliko kukaa kimya kwa sababu mpaka sasahivi ccm awawezi kukusafisha hata kwa steel wire ukataka hata iweje kimataifa ufai hapa nyumbani ndio hivyo sasa sijui hatima ikoje kisiasa na kubwa kuliko ni kwamba ulipopata ubunge ni bora ungebaki kuwa mbunge tu kuliko uwaziri hebu angalia mwenyewe kwa msomi yeyote mwenye akili timamu awezi kubali kuwa mmoja wa viongozi ndani ya serikali hii ya jk. Kwa sababu wasomi wote wamechafuka kupitia awamu hii. Mhongo anajuta ni kwa nini alikubali kupewa uwaziri na matokeo yake tumeyaona.mama nnachokuomba kuwa muwazi ili uwe huru binafsi nakubali u mchapa kazi tatizo ni mfumo ulioingia sio mzuri na aufai kabisa nakupa pole ila roho inauma kwa jinsi unavyofanyiwa hivi wewe ni wa kulinganishwa na chenge kweli? Duh kwa hili chama chngu mmechemka mnaacha kuchukua wahusika kamili wale waliochota kwa mabegi wako wapi? Kuna hatari naiona mbele yangu tena kubwa sio kidogo nayo ni kuanguka kwa ccm 2015


Mwana ccm kindakindaki
 
Tibajk baada ya kugundua kuwa zile pesa zilikuwa za wizi angeripoti kwa mkubwa wake na kuahidi kuzirudisha. That is honestly. Yeye aling'ang'ania kuwa zile pesa zilikuwa si za wizi kapewa na Ruge. Hata baada ya ku-prove kuwa zimeibwa alizidi kusema Ni zake. That was wrong; she deserved punishment!

Tibaijuka alipewa pesa zipi za wizi? Mbona Rugemalira hajashitakiwa kugawa pesa za wizi? Pesa za wizi watu waligawana Stanbic siyo Mkombozi bank!
 
Tumtetee nini wakati kafanya makosa ya kijinga na "usomi" wote alionao.
 
Back
Top Bottom