Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Report yenyewe ame copy barua ya professor kwenda kwa waziri mkuu halafu mnamsifia, halafu sauti inazidi kukauka tu mwambieni aache kunywa gongo na kutembea na viroba kwenye hand bag yake.
 
Mbona sielewi tatizo na Prof. TIBA liko wapi?! Ni fisadi? Au kashindwa kuiongoza wizara yake?
 
Alichokianika Mdee nimebaki mdomo wazi, sishangai ndiye anayemkingia kifua Mchungaji Rwekatare kutobomolewa nyumba iliyojengwa ufukweni mwa bahari kwenye ifadhi.

Ufukwe una hifadhi gani ndani ya jiji kama sio usanii.Huo ni mgogoro wa kisanii mana waliomruhusu ajenge ndo hao tena wanamlalamikia abimoe,walikua wapi? Na kazi yao ni nini?

Na haya ndio matatizo ya kuwa na wizara yenye wafanyakazi walioajiriwa lakini hawatekelezi majukumu yao ya kupanga mipango miji ili watu wajenge kama binadamu.Mpaka mtu alipe pesa ndipo kiwanja kipimwe.a
 
Katika maprofesa wanawake wasio na msaada ni huyu mama, ameshindwa hata kutatua mgogoro wa kupata hati makongo tuu ndio sembuse kigamboni. Ila naamini hii nchi wanaoila kuna mwisho na si mbali sana, sasa analeta ujanja ujanja uzeeni anafikiri atazikwa na pesa ama?

Mkuu huyo mama anatafuta ardhi ya ukoo wake wote, kuna watu kama ifweero sijui nao wananufaika au wanafurahia kulamba viatu vya mafisadi tu..
 
Aiseeee hata huyu mama?? Alikuwa anaonekana na umakini fulani kumbe naye walewaleeeeeeee.
 
nani sio mwizi ndani ya ccm??

Hata yule mwenye hekima kama za suleyman akiingia ccm lazima atetee anachokikuta huko, hata kama hapendi kinyume na hapo atafungashwa virago akijifanya anawatetea wananchi, refer wajumbe wa bmk walivyonywea baada ya kuamriwa na mwenyekiti wa ccm kuipinga rasimu ambayo baadhi yao walisaidia kupatikana.
 
nilikuwa naangalia bunge wizara yake I was disappointed hasa yale aliyoyafumua Mdee balaa tupu

kwenye upendeleo huyu mama ni balaa kuna ndugu yake mmoja alimpachika UN Habitat

Kenya wakati bado hajaja huku wakati hata sifa na vigezo hana acha hiyo TAWLAT sasa
 
Report yenyewe ame copy barua ya professor kwenda kwa waziri mkuu halafu mnamsifia, halafu sauti inazidi kukauka tu mwambieni aache kunywa gongo na kutembea na viroba kwenye hand bag yake.

ndugu umekosa hoja ama........., unaacha kujadili hoja za maana unajadili sauti ya Mdee

Really
 
Kama > 80% ya budget ya maendeleo ya ardhi ni kwaajili ya KIGAMBONI TU, Je utawezaje kumuita Waziri wa Ardhi wa Tanzania. Huyu ni Waziri wa Ardhi wa KIGAMBONI NA CHASIMBA. Hivi Mdee pia hakumlipua kuhusu mgogoro wa shamba la kapunga(?). Pale alipokwenda kusuruhisha, kwanza alifanya mkutano na wananchi na kukubaliana nao. Lakini baadaye mwekezaji akampandisha kwenye gari lako, kumzungusha kwenye shamba. Baada ya ziara hiyo na mwekezaji akatengeua papo kwa papo maaumuzi yake ya awali aliyokuwa amekubaliana na wananachi. Hakusubiri hata kwenda DSM kwa jinsi RUSHWA ILIVYOKUWA TAMU mdomoni mwa huyu Mama Professor!
 
unaweza kumshauri panya asiibe kweli.
huyu mama ameshajumuika na panya

Hivi wajua PANYA siyo lazima umuwekee sumu ili afe bali INDOCID tu itammaliza haraka zaidi.Hivyo mchango wako waweza kuwa INDOCID.
 
Report yenyewe ame copy barua ya professor kwenda kwa waziri mkuu halafu mnamsifia, halafu sauti inazidi kukauka tu mwambieni aache kunywa gongo na kutembea na viroba kwenye hand bag yake.

Hate the game.......................
 
mbona habari imeandika upande mmoja tu? majibu ya tibaijuka yako wapi?
 
Mbona sielewi tatizo na Prof. TIBA liko wapi?! Ni fisadi? Au kashindwa kuiongoza wizara yake?

Huwezi ukawa FISADI halafu ukaongoza wizara vizuri. Ni sawa mtu kusema kwamba yeye ni Malaya wa ngono lakini hazini!
 
sasa hayo yote mnayozungumza mbona yalipita jana bila shida kabisa, mdee ameshindwa kufanya kazi yake amebaki kutoa tuhuma za uongo, muulize huyo mdee yeye kazi yake ni kutunga uongo tuuuuuuuuuuu??

nimecheka sana eti halima kaiba nyaraka..... huyu mama cjui vp tumeshasema hatutaki mambo ya siri kwa manufaa ya taifa
 
Chanzo: TANZANIA DAIMA.
na bunge, Tanzania daima ilithubutu tu kuandika kilichosomwa bungeni na Halima mdee, sidhani kama kuna gazeti litaandika vile, bi mkubwa hujasikiliza bunge jana?
 
Back
Top Bottom