Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Aliulizwa uliomba pesa kulipa fidia kwa tsh 15000/-kwa sqmeter 1 mbona unalipa tsh 5000 hiyo 10000 inaenda wapi hakujibu kabaki kujisifu ujinga kafanyia nini taifa hili zaidi ya kuwa sababu ya kuwafanya wananchi kukosa haki zao hapo kurasini kingamboni etc
 
amina ngalo.
Ona hata aibu wananchi wanaona unachopindisha.je unataka wananchi waendelee kuibiwa na kuteseka?
 
Last edited by a moderator:
ndugu huyo bwana yeye hajawahi kuwa na la maana, hana logic yeye kazi aliyopewa ndo hiyo ku defend mpaka vioja kama ni anafamilia inahasara.
This is too much ndugu. Hivi haonagi aibu? maana hana la simile yeye kila kitu kudefend tu. Ila wakimshika kwenye uislam ana Uzanzibar ndo anajitambua kidooooogo
 
Alichokianika Mdee nimebaki mdomo wazi, sishangai ndiye anayemkingia kifua Mchungaji Rwekatare kutobomolewa nyumba iliyojengwa ufukweni mwa bahari kwenye ifadhi.
 
Hakika Mama Tibaijuka ni janga kwa Taifa kwani inasemekana kwa sasa yuko kwenye mkakati wa kupora eneo la iliyokuwa TANGANYIKA PACKERS kupitia mgongo wa NHC ili baadaye wagawane eneo hilo na watawala wachache ndani ya CCM.
 
Watu wengine bwana... Imeletwa taarifa serious ili watu wajadili halafu ifweero unaleta sanaa. Siyo Busara... Nadhani lengo ni kutujamisha Mawazo tutoke ktk mada. Hebu msaidie Prof. Tibaijuka Kujibu hoja maana nyingi hakuzijibu licha ya kukumbushwa Mara kwa mara na spika.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mwanasiasa Africa ni njia sahihi ya kujinufaisha.....
 
Alichokianika Mdee nimebaki mdomo wazi, sishangai ndiye anayemkingia kifua Mchungaji Rwekatare kutobomolewa nyumba iliyojengwa ufukweni mwa bahari kwenye ifadhi.

Hivi alimkingia kifua Rwakatare nyumba yake isivunjwe? Kama alifanya hivyo, basi ujue serikali ilitoa kibali cha ujenzi.

Tiba
 
Kama vijana tunaendelea kutetea upumbavu na huu udhalimu wa serikali nadhani huko tuendako hii nchi itakuja kuwa shubiri kwa wachache. Vijana wa CCM acheni kuwa na fikra za kizee.
 
Back
Top Bottom