Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Nashangaa sijasikia akiongelea migogoro ya ardhi Tanga,moro,iringa na kwingineko zaidi ya kujikita hapo kigamboni wanakotaka kujenga mji usiojulikana na wakaazi wake hawajulikani watakuwa akina nani. huu ni ujinga uliozidi viwango vya ujinga.hivi kweli tunaweza kujisifu sasa wizara imepata waziri ambaye ni profesa?
Alishindwa kujibu sababu badala ya kujibu hoja za maana anaenda kujibu hoja binafsi,na hapo ndipo alipopotea.Lakini yawezekana ndivyo walivyokubaliana kwenye Mkutano wa wabunge wa CCM hana majibu so,jibu mapigo ya Halima Mdee,na ndicho alichofanya.Lakini amejipunguzia heshima yake kwa jamii.