Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Mtoa mada labda nikwambie hivi..kuna utaalamu wa aina moja tu ambao ufanisi wake unakuwaga ni dhahiri mahala pote ambao ni SAYANSi. Hapa namaanisha sayansi ngumu sio ile laini so called social sciences..Ukisikia daktari professor ujue huyo amefanya tafiti dhahiri kwenye mwili wa viumbe akagundua kitu na ameponya watu katika shida au mphamasia kagundua dawa kaelezea madhara yake na inatumika kutibu hao ni kweli maprofessor na wengine katika sayansi ya aina hii kama wale waliomfundisha panya kugundua mambukizo ya TB na kufukua mabomu ya ardhini nk.

Lakini Professor wa uchumi ama sheria sijui wakati uchumi wetu haukui mikataba mibovu yapitishwa na ufisadi unakuwa na kuenea mbaka kwa watoto wadogo alafu mnawaita wataalamu wamesoma Sweden, Norway, USA nk..hao ni wataalamu wa maandishi na maandiko. Wanaandika kupata hadhi ya kitaalam lakini buree kabisa hawawezi kugeuza elimu yao kuwa faida. Wengine huko huko Bungeni wanayakana machapisho yao kisa siasa za mlengo fulani. Wasomi wetu PhD holders etal..wamekuwa watumwa wa mfumo huu wa hovyo wa nchi yetu. Si watu wa kuwakimbilia kabisaa hawana msaaada.

Hivyo basi mtoa mada..hakuna usomi ninaouona katika wasomi wetu kwani wanashindwa kutumia machapisho yao ya kisomi kuibadili nchi yetu katika maeneo ya usomi wao. Pathetic...........

Wewe sio Magimbi ni Ma brain ninaunga hoja uchambuzi au mawazo yako, tuna lundo la so called Proffs lakini hakuna tija hata kiduchu!!!!
 
Mkuu mbona unauliza kitu ambacho kipo wazi sana au unajaribu akili za watu tibaijuka ni zaidi ya vile unavyodhani mkuu.
 
Maprofesa na madaktari walio wengi bungeni hawana msaada katika nchi mmojawapo huyo mama.Jana huyo mama kaonesha udhaifu mkubwa sana maana muda mwingi kujisifia yeye hata kwenye kazi za wizara alizofanya na timu yake.
 
Hao ndio maprofesa na madaktari walio ndani ya sisiemu.Wezi watupu msomi wa kweli,aliyeelimika katu hawezi kuwa shabiki au mwanachama wa sisiemu kwani huko suala la kufikiri haliko kabisa bali ni mazingaombwe tu yaliyojaa.

Profesor Tibaijuka japo kwenye ishu ya chasmba ananatakiwa aonyeshe umakini cz pale wananchi wanaonewa bt kwenye maeneo mengne namkubali sana huyu mama...Prof Tibaijuka yupo smart ata wahndi walipotaka kumuhujumu nehemia mchechu kutokana na utendaji wake alismama kdete kumtetea cz wahndi walsihazoea kuiibia serkali kuptia nhc ...national housing corporation
 
Report yenyewe ame copy barua ya professor kwenda kwa waziri mkuu halafu mnamsifia, halafu sauti inazidi kukauka tu mwambieni aache kunywa gongo na kutembea na viroba kwenye hand bag yake.
mmmmh ni wewe unayeongea haya?sasa wewe na mdee nani mnywa viroba?kazi ya kichwa sio kufugia nywele na kufikiria pia
 
ndugu wana jamii mimi najiuliza hivi huyu mama prof tangia ameteuliwa kuwa waziri wa ardhi kuna kitu chochote amefanya? hata huo mradi wa kigamboni, wezake waliupanga vizuri sana lakini yeye kaja na kuharibu kabisa. tharau zinampoza huyu prof uchwara.
 
Duh! Alafu ndio Mlikuwa mnasema Huyu ni Presidential Material ? Hakika Tutajuta, Huyu ni Mwizi zaidi ya JK na Mkapa Ukiunganisha kwa Pamoja.
 
Prof. amejibu mapigo ya Mdee; akimtuhumu kuwa amesema uongo na kuwashauri wananchi wa jimbo la kawe wasimchague tena Mdee akidai "itakula kwao".

Amedai Mdee amefikia hatua ya kuiba barua ya kiofisi ambayo alimwandikia waziri mkuu na kuiweka katika hotuba yake.

Sikumuelewa jana.Ofisi ya waziri ina secretary wake,au katibu muhktasi,sasa Halima Mdee barua hiyo aliwezaje kuiiba ikiwa iko kwenye file za waziri?Swali la msingi hivi barua hiyo Halima Mdee ameiba au ameiomba akapewa?Swali la nyongeza nani mwenye makosa aliyeomba akapewa au aliyeombwa akaitoa?

Na la mwisho kabisa kwanini Waziri akawa mkali kama Mbogo kwenye hiyo barua?

Kuna kitu zaidi kimejificha kwenye hilo.Namsupport Halima Mdee kwenye hilo lazima kuna katatizo hapo.
 
Ngeleja, Makamba nk. wana ekari 200 kila moja pale karibu na Sophia panaitwa Kijaka

Ndugu yangu...hii mambo ya mradi wa kigamboni ni Time bomb kwa hawa wezi wa CCM....I can imagine walivyotuweka katika dilema wakazi wa kigamboni kwa miaka saba mfululizo...alafu kumbe ni udalali...wanataka kutuibia tu....I swear before my living GOD....They must pay for this
 
mmmmh ni wewe unayeongea haya?sasa wewe na mdee nani mnywa viroba?kazi ya kichwa sio kufugia nywele na kufikiria pia

Sinywi pombe chafu anazotaka luhalalisha slaa mimi, Nina sauti ya ki- gentleman, humuoni Mdee ameharibika sauti kwa gongo???!. Babu amemharibu bint mdogo hata kuolewa bado.
 
Kuhusu suala Prof. Tiba kuishadadia Kigamboni, mimi nimeamua kuachana naye.
Nimeamua kumsikikiza Mbunge wangu Dr. Ndugulile pekee, na mwakani nitamchagua bila kujali ni wa Chama gani.
 
Sinywi pombe chafu anazotaka luhalalisha slaa mimi, Nina sauti ya ki- gentleman, humuoni Mdee ameharibika sauti kwa gongo???!. Babu amemharibu bint mdogo hata kuolewa bado.
.pole pole mkuu tutafika.hivi mama makinda kaolewa na nani vile?
 
Sikumuelewa jana.Ofisi ya waziri ina secretary wake,au katibu muhktasi,sasa Halima Mdee barua hiyo aliwezaje kuiiba ikiwa iko kwenye file za waziri?Swali la msingi hivi barua hiyo Halima Mdee ameiba au ameiomba akapewa?Swali la nyongeza nani mwenye makosa aliyeomba akapewa au aliyeombwa akaitoa?

Na la mwisho kabisa kwanini Waziri akawa mkali kama Mbogo kwenye hiyo barua?

Kuna kitu zaidi kimejificha kwenye hilo.Namsupport Halima Mdee kwenye hilo lazima kuna katatizo hapo.

Mkuu:-

1. Barua ndiyo imeshamfikia Mdee akaitumia ipasavyo. Haijalishi imemfikiaje - kuna wazalendo wanaipenda nchi yao.

2. Prof. kawa mbogo kwa kuwa imemuumbua na kuonesha mapungufu yake hususan ya kifisadi; ikitiliwa maanani kuwa yeye ni kati ya wachache sana katika BLM la JK aliyebaki na sifa ya uadilifu.

3. Hakuna kilichojificha zaidi ya ufisadi mbele kwa mbele.....
 
Mama Tiba kumbe ameingia wizara ya ardhi kujinufaisha? ama kweli Mugabe aliona mbali kumtimua huyo prof. Kanjanja.
 
Prof. amejibu mapigo ya Mdee; akimtuhumu kuwa amesema uongo na kuwashauri wananchi wa jimbo la kawe wasimchague tena Mdee akidai "itakula kwao".

Amedai Mdee amefikia hatua ya kuiba barua ya kiofisi ambayo alimwandikia waziri mkuu na kuiweka katika hotuba yake.
Majibu na ushauri aliotoa haufanani na tuhuma zilizotolewa. Wanasiasa hawa ni wepesi sana kusukuma lawama kwa watendaji lakini pale lawama zinapowaelekea wao hushindwa kuzijibu. Tuhuma zilizotolewa Bungeni zote ziko katika maeneo yake ya utendaji, alipaswa tu kuzikanusha na kutoa uthibitisho (ikihitajika) wa uongo huo. Lakini kusema tu katunga uongo msemaji haiondoi tuhuma hizo.
 
Back
Top Bottom