Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
Ungesoma vizuri kilichoandikwa, usingetuandikia huu uharo wako hapa!
Msamehe kwani hajatumia akili kujibu, yeye anafikiri huu ni ugomvi wa kikabila wakati yanayosemwa ni ukweli mtupu. Nani asiyejuwa sakata la Kigamboni?