Comments za kijinga kama hizi zinatuharibia sana wana CCM. Mh. Halima Mdee anastahili kujibiwa kwa hoja madhubuti,otherwise 2015 CCM itaelekea Kibla..Chagadema kwa heading za kuvutia hamjambo..
Mkuu:-
1. Barua ndiyo imeshamfikia Mdee akaitumia ipasavyo. Haijalishi imemfikiaje - kuna wazalendo wanaipenda nchi yao.
2. Prof. kawa mbogo kwa kuwa imemuumbua na kuonesha mapungufu yake hususan ya kifisadi; ikitiliwa maanani kuwa yeye ni kati ya wachache sana katika BLM la JK aliyebaki na sifa ya uadilifu.
3. Hakuna kilichojificha zaidi ya ufisadi mbele kwa mbele.....
Eti ndo wanaopigiwa chapuo kupeperusha bendera ya magamba mwakaniNashangaa sijasikia akiongelea migogoro ya ardhi Tanga,Moro,Iringa na kwingineko zaidi ya kujikita hapo Kigamboni wanakotaka kujenga mji usiojulikana na wakaazi wake hawajulikani watakuwa akina nani.
Huu ni ujinga uliozidi viwango vya ujinga.Hivi kweli tunaweza kujisifu sasa wizara imepata waziri ambaye ni profesa?
Kama tamisemi ndio unashugulikia mambo yote ya ardhi mikoani kuna haja gani ya kuwa na wizara ya ardhi?Je ni fungu kiasi gani wametenga kwa ajili ya kutatua migogoro ya ardhi nchini na kuweka mazingira ya kutokuwepo kwa kipindi kijacho? Je kila kata ina land use plan inayoeleweka kwa wananchi wote?
Huyu waziri nashangaa sana sijui ni mtu wa namna gani.Kwa viongozi wa namna hii afrika tutakuwa masikini sana.
Ni ngumu kwa mwizi sugu kujinyonga, hata hivo haya yatapita tuu kwa serikali hii ya dhaifu inapigwa kelele kesho kelele zinahamia wizara nyingine mambo kwisha,,,,,huyu bibi anaweza kujinyonga wakati wowote...
Don't hate the player..........
Comments za kijinga kama hizi zinatuharibia sana wana CCM. Mh. Halima Mdee anastahili kujibiwa kwa hoja madhubuti,otherwise 2015 CCM itaelekea Kibla..
Mama Le profesee.
Elimu sidhani kama itatukomboa, nimemsikiliza jana nikawa naona aibu mimi.
CCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
Wewe mama jike hujaolewa tu maana povu linakutoka hapo.. ShwainiCCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
Mdee amebwabwaja tu na kelele nyingi zisizo na mantiki .
una haja ya kufikiri kidogo kabla ya kusema utumbo wako apa.....huwezi kusema eti anabwabwaja tuu mtu kalipwa na amefanya kazi ya kukusanya maoni yake wewe m.pu.mbavu uliyefupika katika kufikiri unaleta ST.UPID conclusion hapa....jifunze kufikiri wewe sio kila kitu unapinga pinga tuu...au ni ugeni unakusumbua
Sinywi pombe chafu anazotaka luhalalisha slaa mimi, Nina sauti ya ki- gentleman, humuoni Mdee ameharibika sauti kwa gongo???!. Babu amemharibu bint mdogo hata kuolewa bado.
Mwakaila onesha point acha kunishambulia. Wew mwenyewe una matatizo kwenye kufikiri.sipingi kila kitu. Na Wew uache kubwabwaja. Sio unarukiarukia tu mchango Wa wenzio. Nyambafuuuuuuu.
uchambuzi gani wewe umefanya zaidi ya kutoa conclusion ya kipumb.avu.......eti anabwabwaja....yani na wewe unajiita GT