Premature Ejuculation and Erictile disfunction

Kishazi,
Ni kweli kuna wanawake wenye k*** ndogo kama wanaume walivyo na mb*** ndogo. Sasa inakuwa tatizo hasa pale demu anapokuwa na rafiki wa kiume ambaye ana mb** kubwa kupita kawaida. Kwa kawaida sehemu za siri hasa za wanawake hutanuka, ndio maana mwanamke anaweza kuzaa mtoto mwenye bichwa kuubwa hata ukashangaa amepitaje!!! Sasa basi, ili kuweza kuitanua k*** ya mwanamke juhudi za ziada tena kwa uvumilivu mkubwa zinahitajika. Kabla ya tendo lenyewe wacheze ili kufanya muccus ya mwanamke itoke kwa wingi na kulainisha shemeu zile, pia yatumike mafuta ya kulainisha i.e K-jelly yakutosha. Mwanamume aingize taratibu tena kidogo kidogo hadi apate penetration. Akifikia mahali anapata breakthrough asiache bali aendelee hadi apate full penetration. From there on atakuwa amemaliza kazi. Ikumbukwe pia kwamba wakati mwingine ni uoga tu wa mwanamke unaosababisha misuli ya k*** kukaza hadi wakadhani ana K*** ndogo kumbe ni ya kawaida. Kuna couple moja ilitaka kwenda kwa daktari eti wan matataizo ya kutoweza kupata penetration kumbe ni uoga wa mwanamke na maandalizi mabaya wakati wa tendio lenyewe. Mra nyingi uoga hutokana na labda ubakaji aliofanyiwa msichana akiwa mdogo ndio maana kumbukumbuku yake inamkumbusha huko na hivyo hatoi muccus kulainisha mambo

Kuhusu hili la premature ejeaculation, nami naomba nichangie kidogo. Mara nyingi hili ni tatizo la kisaikolojia kama walivyosema wenzangu lakini linatokana na masturbation iliyokithiri. Mara nyingi masturbation inafanywa na mtu anayeweza kuimagine au ku-fantasize kuwa yuko na mwanamke na sasa anafanya ngono na hapo anashinda goli lake mwenyewe bafuni au chumbani. tatizo sasa ni pale yupo na mwanamke live, unadhani atafanyaje kama si kushinda goli hata kwa kumgusa tu mwanamke? Mie nawaambiaga vijana waache masturbation itawaharibu hawanisikii!!! tatizo jingine la masturbation ni kwamba huwa hawashindi magoli zaidi ya moja wakiwa wanafanya bafuni, ni chapchap wamemaliza!! Hivyo wanapokuwa na mwanamke akili inakuwa imezoea fantasy and quick ejaculation. Tiba yake ni kujua kwamba mtu una tatizo kwa hiyo unajiandaa mapema kwa kumwambia mwenzako kwamba una tatizo na msaidiane. Muanze kwa kucheza kwanza hadi mwenzako afikie karibu na kilele kwa hiyo unapoingia basi unamalizia kwa kufunga na wote mnakuwa mmefika pamoja. Njia ya pili ni kuvaa condom tena SALAMA brand ambayo haina sensitivity kama rough rider and other expensive brands. Pamoja na njia walizosema wenzangu kwamba usimwangalie demu wala kuwaza kuhusu utamu. Njia ya tatau ambayo naiita ni short cut ni kufanya masturbation kwanza kabla ya tendo lenyewe.

Upo hapo Kisahzi na wengineo?

Duuh, mtu wangu nashukuru sana. Niliwahi kumwambia jamaa kuwa inawezekana demu wake aliwahi kuwakumbwa na kubakwa, au ndugu wa huyo msichana aliwahi kubakwa nayo ikamuathiri. But sikuwa na uhakika kiasi hicho, ndipo nikamwambia asubirie nitafute ushauri kwa wadau wangu.

Kuhusu la kufika mapema, niliwahi kuongelea hapo mwanzo kuwa p**nyeto pia inachangia kwa kiasi kikubwa as huwa inaathiri kwa kiasi kikubwa sana saikolojia. Ndio maana nikashauri swala la kutatua saikolojia zaidi as sio swala la kimaumbile saaaaaaana.
 
Nilisoma kwenye magazeti ya udaku kuwa madaktari wa kienyeji wanotoa dawa za kuongeza nguvu za kiume. Not sure kama ni wakweli though.

Kwenye website ziko nyingi tu ...penishealth.com. Ulishasikia mazoezi ya kegel? try that man. Otherwise use viagra ...utadunda hadi kariakoo.
 
Kishazi,
Kuhusu hili la premature ejeaculation, nami naomba nichangie kidogo. Mara nyingi hili ni tatizo la kisaikolojia kama walivyosema wenzangu lakini linatokana na masturbation iliyokithiri. Mara nyingi masturbation inafanywa na mtu anayeweza kuimagine au ku-fantasize kuwa yuko na mwanamke na sasa anafanya ngono na hapo anashinda goli lake mwenyewe bafuni au chumbani. tatizo sasa ni pale yupo na mwanamke live, unadhani atafanyaje kama si kushinda goli hata kwa kumgusa tu mwanamke? Mie nawaambiaga vijana waache masturbation itawaharibu hawanisikii!!! tatizo jingine la masturbation ni kwamba huwa hawashindi magoli zaidi ya moja wakiwa wanafanya bafuni, ni chapchap wamemaliza!! Hivyo wanapokuwa na mwanamke akili inakuwa imezoea fantasy and quick ejaculation. Tiba yake ni kujua kwamba mtu una tatizo kwa hiyo unajiandaa mapema kwa kumwambia mwenzako kwamba una tatizo na msaidiane. Muanze kwa kucheza kwanza hadi mwenzako afikie karibu na kilele kwa hiyo unapoingia basi unamalizia kwa kufunga na wote mnakuwa mmefika pamoja. Njia ya pili ni kuvaa condom tena SALAMA brand ambayo haina sensitivity kama rough rider and other expensive brands. Pamoja na njia walizosema wenzangu kwamba usimwangalie demu wala kuwaza kuhusu utamu. Njia ya tatau ambayo naiita ni short cut ni kufanya masturbation kwanza kabla ya tendo lenyewe.

Upo hapo Kisahzi na wengineo?

Mchola,
Asane sana kwa majibu yako ya kina na ambayo naoana yanaukweli ndani yake, ngoja ntajaribu kuongea na huyu bwana mdogo nijue niatamsadia vipi.

Lakini bado swali langu la pili naona bado halijapata majibu, nalo ni kuhusu erectile dysfunctional. Huyu bwana mdogo pia analalamika kwamba anapoteza sana hamu ya tendo la ndoa, na wakati mwingine haisimami sawasawa, je nahili nalo linatibikaje? Je kuna dawa maalum ya kutibu hili. Naomba uzitaje dawa hizo ili niweze kumnunulia.

Swali la mwisho, je kuna dawa ya kuongeza ukubwa wa Mb***? Manake nasikia kuna fununu kwamba kuna dawa ya kuongeza ukubwa wa mb***, je kama zipo, naomba mniambie manake nataka niongeze ukubwa wa jogoo wangu, mke wangu amesema hatosheki na ukubwa wa jogoo wangu. hii ina-nifrustrate kweli kweli.

Naombeni majibu, msilete mzaha jamani
 
huyo wa kuwahi atumie delay spray anapulizia kidogo na kupaka kwenye kichwa tu cha 'abdala' atachelewa dakika 15-20 nadhani sio mbaya,huyo wa kuchelewa atumie sensitising spray itapunguza muda,kuhusu nguvu rafiki yangu anatumia 'erector' tablet ya india(100mg anakata nusu na kumeza mara 2)hiyo nusu inamsaidia siku 3(2500/=each) anatumia mwaka wa 4 sasa.Delay spray inapatikana pharmacy na hata supermarket lakina sensetising spray mpaka nje ya Tz au pharmacy zingine wanaweza kukuagizia
 
mimi mchango wa MAMA tu ndo ninatafakari....! NITAMUOMBA KIUNGWANA AUREJESHE ILI MTU AKIUHITAJI AMTUMIE PM....!
 
Kwako kishazi,

Uke mdogo(vagina) hauwezi kusababisha mwanamke kupata shida ya kujifungua.Wakati wa kujifungua,outcome ya uchungu inategemea mambo matatu.(3 Ps)
1.Mtoto(passenger),size yake,amelala vipi(kitangulizi)
2.Kondo la nyuma(Placenta),imekaa wapi
3.Nguvu ya uterus kusukuma mtoto(power)
Hivyo utaona kuwa uke hauhusiki.Ikitokea ikaonekana mtoto anapata shida kutoka kwasababu kuwa uke ni mdogo,manesi hufanya kitu kinaitwa episiotomy(kuongeza njia )kwa kuchana kidogo ngozi.Hii hufanywa hata katika zahanati huko vijijini.
 
Originally Posted by kishazi
Ila na mimi niliwahi kuuliza swali kuhusiana na udogo wa sehemu nyeti za mwanamke. Na nilikuwa interested kujua, kuwa kama kuna tiba and if not what will happen pale anapotaka kujifungua..?? Kuna ndugu aliniomba ushauri about this kuwa demu wake ana sehemu ndogo kiasi hawezi hata kupitisha mambo yake, and it is really a problem to them. Kama kuna mwana JF ana ufahamu, ningependa kusikia ili tumsaidie ndugu yetu huyu.
Wana JF sijajibiwa..!! Naomba majibu na kwenye hili pia..!!

Nitashukuru nikipata majibu.

nanihii ya mwanamke imetengenezwa na materials ambazo zinaweza kustretch kwa milimita nyingi tu bila kuchanika.
hapo rafiki yako anatakiwa tu amsaidie msichana wake kwa hata kununua zile nanihii feki ambazo sio kubwa kama yake ili amzoeshe kidogokidogo na polepole nanihio itastretch to the required size.
maana wanaume wengine huwa na mananihii makubwa na wasichana wao kuwa na vininihii vidogo na one cant expect zicooperate.
 
Afanye kwanza kegels zitamsaidia kulast longer na kuongeza ma-honey na mavituz................

mbona mijitu mikubwa huwa ina viji-galfriend vidoooooooogo? and they are not complaining, its all in yo mind, create a relaxing environment na mwendo wa polepole, wengine kama muna ultimatums...........duniani sijui inakwisha.......... ai bwana
 
...mke wangu amesema hatosheki na ukubwa wa jogoo wangu. hii ina-nifrustrate kweli kweli.

Naombeni majibu, msilete mzaha jamani

...Dah! am speechless!

kwanza nakusifu kwa kuwa muwazi na mkweli,

pili, sidhani kama utapata suluhisho la kuongeza ukubwa, jitahidi tu kuwa mbunifu wa mbinu kwenye 'udugu wa shuka'.

mwisho, (kwa maslahi ya ndoa yenu) jaribu kumsihi madame aache kukunyanyapaa.
 
Mchola,

.... mke wangu amesema hatosheki na ukubwa wa jogoo wangu. hii ina-nifrustrate kweli kweli.

Naombeni majibu, msilete mzaha jamani

Kaka,

Malalamiko na kutoridhika kwa mkeo kunaweza kuwa kumesababishwa na saikolojiko problem ambayo inaweza kuwa imesababishwa na kuona kwa baati nzuri au mbaya picha za X au kusoma hadithi zenye kuelezea utamu unaopatikana kutoka kwa kifanyio kikubwa.

Malalamiko ya wale ambao wanasikika kwenye filamu nyekundu can have saikolojiko effect to ladies wasioweza kugundua kuwa kuna desired screeming effect from film directors.

Ushauri wangu kwako ni kuongeza muda wa kushikana shikana na jifunze kumfikisha kilele pasipo kutumia kifanyio chako. Also kama mna/ana tabia ya kuangalia hizo filamu shaurianeni kuziepuka.
 
....Kwa mtazamo wangu sioni ubaya wa kuangalia filamu za X kwani kwa upande mwingine zinasaidia pia kuongeza vionjo.Kubwa nina mashaka na mahusiano yao hao watu. Unajua kama hakuna mvuto wa kimapenzi baina ya wapendanao huchangia sana kupoteza feelings wakati wa ku-sex. Kwa mfano unapogundua partner wako anakaharufu fulani ambako hukapendi aidha mdomoni, kwapani au hata kwenye sehemu nyeti na mwili kwa ujumla nina uhakika utapoteza hamu. Kitu kingine ni jinsi gani wanapokuwa katika mapenzi wanavyowekana tayari lisiwe jukumu la mtu mmoja tu kuhangaika kumuandaa mwingine ni budi kila mtu kwa nafasi yake aguse kila sehemu ya mwenzake ambayo anaamini atamsisimua na hapo lazima ile hamu ya kuhitajiana itakuja tu na mwisho ni muhimu kuangalia hata style mnayotumia katika kufanya mapenzi kwani kuna style ambazo mkizi-apply mazee hizo shutuma kuwa uume mdogo haziwezi kuwepo e.g. mwanamke kuwa juu ya mwanaume, chuma mboga na nyinginezo. So you need to be creative guys si unajua mapenzi ni sanaaa...Hakuna Limbwata wala Shuntama!!
 
....Kwa mtazamo wangu sioni ubaya wa kuangalia filamu za X kwani kwa upande mwingine zinasaidia pia kuongeza vionjo.

Kipanga,

Naomba kutofautiana na wewe manake nimejaribu kutafuta ushauri wa kidaktaria akasema si vizuri kupenda kuangalia picha za X. Pamoja na hayo, katika thread hii niliandaika kuhusu bwana mdogo ambaye alikua na tatizo la kupata premature ejaculation and erectile dsyfuntion, kitu ambacho nimegundua ni kwamba huyu bwana mdogo alikua anapenda sana kuangalia movies za X sasa nafkiri zimemletea psychological effect hata ikafikia kupata matatizo hayo.

Ntajaribu kuzingatia ushauri wako wa kujaribu kubadilisha mapigo na ikibidi kujipulizia marashi kabla ya kuanza shughuli yenyewe. Asante kwa ushauri wako.
 
Wandugu; nimefurahishwa na mchango wenu katika safu hii.Nimesoma kabrasha moja
inayoelezea dawa asilia ambapo mchanganyiko wa unga wa mizizi ya ASPAGARASI na ule wa mizizi ya BAMIA ni tiba nzuri kwa matatizo hayo ya kuwahi.Tatizo langu sijui huu mmea wa ASPAGARASI ni upi na unapatikana wapi? Mwandishi ni mkazi wa Mwanza, au katumia jina la kilugha? Naomba mchango wenu wandugu,
 
Nasikia wengine hata hutumia njia ya kukaba mwanamke ... ukimbana huku anaachia kwengine

Naima, hii kali....:) inabidi upige mtu kabari ili uweze kujinafasi kwenye mwandani wa nanino...:). Fore play ikichukua muda mrefu kwa mwanamke mwenye nanino ndogo inasaidia sana. Mkichezeana kwa muda mrefu anakuwa wet na hii inarahisisha sana kupenetrate kirahisi lakini kama una wa punda basi inabidi ufanye aste aste...au binti anaweza kukukimbia.
 
nimekusikia, nimekuelewa, nimeufanyia kazi.
SHUKRANI ZANGU BINAFSI ZIKUENDEE POPOTE ULIPO MAMA.....! MAMA NDIYE MLEZI WA JAMII........! JE MA-BABA NAO HUWASIKILIZA WATOTO WAO WANAPOPEWA USHAURI...?
CONGRATS MAMA , U HAVE MADE ME HAPPY....!
( KUNA SIKU NIMEACHA KOMPYUTA ON NIMEKUTA MTOTO WA SISTER WANGU AGE 8 ANAPERUZI NA AKANIAMBIA ONE THING.......! huyu kakosea jina la NYERERE halafu kwani anko NYERERE bado yupo? ) ALIKUTA NASOMA POST YA NYEREREIST.....!
THANX MAMA......... maadili juu, juu, juu zaidi...!
 
Ndugu mbona uko OP, (Out of Point)?

Hapa watu wanataka majibu ya hoja ya Premature Ejaculation and Erecticle dysfunction, yaani tatizo la wanaume kuwahi kufukia kileleni (kupiga bao) na uume kushindwa kusimama, sasa huu mchango wako mbona hauendani na hoja iliyopo mkekani? je hapa nyerere anahusika vipi na hii hoja?

Watu wengine mnaudhi kweli...! Tafadhali naombeni majibu na mchango wenye tija...!
 
JF Doctor,

Naomba msaada wako...!

I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile dysfunction)

Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation).

Hali hii ilimkasirisha sana girlfriend wake kwani anasema haridhiki au hatosheki na mapigo ya bwana mdogo kwani huwa anamaliza upesi mno kabla yeye hajafikia kileleni.

Sasa naomba unisaidie nimshauri afanyaje? Ni nini haswa chanzo cha erectile disfuntion and premature ejeculation?

Je kuna dawa mahususi ya kutibu erectile dysfunction and premature ejaculation? na kama zipo ni dawa gani haswa? naomba uzitaje

Naomba ushauri wako ili nimnusuru huyu bwana mdogo ambye kwasasa amekua kama mkiwa...!

Ni weye au huyo rafiki yako unayemwita bwana mdogo?
Usgauri wangu ni kwamba kabla ya kucheza 'kidali mpo' awe amekula kama karanga mbichi kilo moja hivi.Then anywe Konyangi hata moja tu alafu mwambie waingie wacheze kale kamchezo under the sheet huyo mwanamke atajuta na yeye mwenyewe atajiona laana.Try it it will work out for you and the so many wenye matatizo kama haya ila waweke maji ya baridi pembeni ya kitanda kila atakapo ejaculate ampe huyo mwanamke hayo maji ya baridi.
 
Mkuu hii ni hatari!
kwa hiyo hata kama huyo jamaa hatumii pombe inabidi anywe konyagi?? Sasa hayo ndo mapenzi under influence ya drugs atenjoy vipi?

Mi nafikiri la muhimu hapa kutafuta jinsi ya kupata furaha ndani ya mahusiano yenu kwa kutumia busara. Japokuwa katika maduka ya madawa kuna aina za dawa zinazoweza kukufanya uchelewe ku-ejaculate mimi nasisitiza mjaribu kwanza njia za asili kama kuprolong foreplay, na pia mjaribu kuexplore njia nyingine zitakazokuwezesha wewe kumfanya huyo mwanamke afike kileleni.

I can surely tell there are so many ways just try to figure out and you'll see!!!!
 
JF Doctor,

Naomba msaada wako...!

I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile dysfunction)

Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation).

Hali hii ilimkasirisha sana girlfriend wake kwani anasema haridhiki au hatosheki na mapigo ya bwana mdogo kwani huwa anamaliza upesi mno kabla yeye hajafikia kileleni.

Sasa naomba unisaidie nimshauri afanyaje? Ni nini haswa chanzo cha erectile disfuntion and premature ejeculation?

Je kuna dawa mahususi ya kutibu erectile dysfunction and premature ejaculation? na kama zipo ni dawa gani haswa? naomba uzitaje

Naomba ushauri wako ili nimnusuru huyu bwana mdogo ambye kwasasa amekua kama mkiwa...!

utibabu wa kitaalam kabisa ambao hauitaji dawa ya aina yoyote:mwambie hyou nduguyo awe na mazoea ya kubana tundu yake ya makalioni(hasibane makalio),inatakiwa hile tundu hawe kama anataka kukamua kitu ndani ,hili aelewe ya kwamba anafanya sahii wakati anabana ataona uume nao unashtuka, hawe nafanya hivi mara kwa mara na kwa muda mrefu,ni hakika ataona tofauti kubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom