Premature Ejuculation and Erictile disfunction

Navua kanzu kwa muda na kumsaidia mwenzetu Mhafidhina na nduguye, kwa kutokuwahoji mahusiano yao kama yako kwenye ndoa au la.

Lakini kwa nini Nduguyo asiende hospitali akakutana na wataalamu wamfahamishe kiutaalamu?

Tembelea www.webmd.com unawezapata majibu mengi na si ajizi za karanga mbichi, ndimu na konyagi.

Kama hajaoa, mwambie avumilie mpaka aoe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom