Premature Ejuculation and Erictile disfunction | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Premature Ejuculation and Erictile disfunction

Discussion in 'JF Doctor' started by Mhafidhina, Jul 1, 2008.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  JF Doctor,

  Naomba msaada wako...!

  I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile dysfunction)

  Mbaya zaidi inapotokea kwamba linawika, huwa ni dakika moja au mbili basi huwa anakua kasha "piga bao" (premature ejuculation).

  Hali hii ilimkasirisha sana girlfriend wake kwani anasema haridhiki au hatosheki na mapigo ya bwana mdogo kwani huwa anamaliza upesi mno kabla yeye hajafikia kileleni.

  Sasa naomba unisaidie nimshauri afanyaje? Ni nini haswa chanzo cha erectile disfuntion and premature ejeculation?

  Je kuna dawa mahususi ya kutibu erectile dysfunction and premature ejaculation? na kama zipo ni dawa gani haswa? naomba uzitaje

  Naomba ushauri wako ili nimnusuru huyu bwana mdogo ambye kwasasa amekua kama mkiwa...!
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  jaribu kui-edit uifunge funge zaidi, samahani kwa hilo! dhoo wi dea tu tok openli but with matutaz...!
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  lol withi matutazi......
  Nasikia kuna yale madawa ya kuleta majiguvu....tukianza na supu ya pweza.......
   
 4. M

  Mbeba Maono Senior Member

  #4
  Jul 2, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watu tunatofautiana sana jamani. mimi mwenyewe nilitaka kuja kuandika hapa leo, matatizo yangu ni kwamba, nachelewa sana kumwaga, nachukua hadi nusu saa hadi dakika 45 wakati mwingine. tatizo ni pale ambapo, inafikia mamaa anasema ameshachoka, na mimi namwona kabisa amechoka na ile miguno ya mwanzo haipo tena. mimi niko bado crazy wakati huo. kibaya zaidi, ni kwamba, nikisha fika kileleni ktk hali ya mda mrefu kama huo, sina uwezo wa kupiga la pili. yaani hiyo ni kama many in one. yaani hadi kesho. sasa naombeni muunganishe na hili, hivi hili ni tatizo gani? au nina upungufu wa sperms? ni mbaya? sijapata malalamiko toka kwa my wife kuwa haridhiki, ila mimi wakati mwingine naona kama ananipunja anaposema ameshechoka wakati mimi bado. nilikuwa najua wanawake ndo wenye nguvu kuendelea zaidi kuliko sisi. hii ni true, wala sitanii, naombeni mnisaidie wajameni.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  leo maono yameshindikana? au hujabeba?PIGA MAHESABU au uchukue jembe uwe MWANAKIJIJI ila angali sana usiwe kama MTU WA PWANI ambaye hukaa tu akisubiri jioni.......!
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hapa Sijaelewa Unakusudia Mimi Au Una Maana Gani Hebu Weka Uchi Maelezo Yako Tufahamu Unakusudia Nn
   
 7. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Nafikiri labda huyo mwanaume moja ya tatizo feelings zake haziko kwa bibie ndio mana hamu ya majambozz inapungua.
   
 8. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mi nafikiri yote hayo ni matatizo ya kisaikolojia bin utayarisho wa maswala nyeti.

  Kwa hiyo mheshimiwa wa kuchelewa kufika, I think, maandalizi ya mwenzio bado yana utata, as kama atakuandaa vema, lazima safari iwe moja.

  The same applies kwa mzee wa kuwahi Chalinze wakati mwenzie ndio kwaaanza yuko Kimara. Mi nafikiri huyu anapaswa kui-set saikolojia yake. Asiwe anapania sana au kuconcentrate sana kwenye tukio. Anaweza akawa anajipa mawazo mengine pale anapohisi mambo yanataka kutoka. Ingawa ni ngumu, but akianza kujizoesha atafanikiwa. Mara nyingi hii husababishwa na aidha kuchelewa kuanza maswala ya chumbani au kufanya sana p**nye**to au namna tu saikolojia yake ilivyokaa.

  So ushauri wangu kwanza, ni maandalizi na set up ya saikolojia za kila mmoja.

  Ila na mimi niliwahi kuuliza swali kuhusiana na udogo wa sehemu nyeti za mwanamke. Na nilikuwa interested kujua, kuwa kama kuna tiba and if not what will happen pale anapotaka kujifungua..?? Kuna ndugu aliniomba ushauri about this kuwa demu wake ana sehemu ndogo kiasi hawezi hata kupitisha mambo yake, and it is really a problem to them. Kama kuna mwana JF ana ufahamu, ningependa kusikia ili tumsaidie ndugu yetu huyu.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  VIAGRA 'inaweza' kumsaidia... almuradi isiwe @made in India, na atumie kwa ushauri wa daktari!!!
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  unakunywa Konyagi nini kabla ya...?... hakuna ubaya kuchukua muda, anapokwambia amechoka mpe muda apumzike, sio baiskeli hiyo!

  ... 'kipindi cha pili' unamalizia mpaka kileleni, hutakuwa na haja ya 'kupiga la pili'.
   
 11. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ahahahahahahahhaha, baiskeli oiyeeeeeeeeeee
   
 12. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
 13. n

  njoka Member

  #13
  Jul 2, 2008
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa upande wa hali ya huyo wa kwanza ya kupiga bao kama jogoo, ni vyema atumie saikolojia ya kupoteza mawazo ya mapenzi, kwa kufanya yafuatayo

  1. wakati una do, usimtazame huyo mpenzi wako ikiwezekana funga macho.
  2. mweleze mwenzio asikate viuno wakati mnapoanza ku do, mpaka wewe utapokuwa umepoteza mawazo ya ku do kwake.
  3. mweleze kuwa mtakata viuno kwa zamu ili wewe usifike kileleni kwa haraka

  4. kama njia hizo umetunia ni bado basi hii ni njia ya mwisho na ni nzuri kwa kukusaidia kutofika kileleni mapema.
  +chukua chupa ya kama lita moja ya maji, wakati anapo hisi kupoteza fahamu( Utamu unakaribia kileleni) anywe maji, huwa yanapoteza ufahamu wa mwili kuupeleka kweye woga wa maji
  Akiweza kutimiza hilo kwa takribani mara kumi mfululizo atakuwa amepona kamisa.

  na njia nyingine ni kuua sell zilizo zunguka kichwa cha ****, kwa kupiga punyeto kwa kusugua sana kichwa cha ****.

  Kwa upande mwingine kuna rafiki yangu mmoja ana tatizo la kutoweza kusimamisha **** yake ikawa ngumu vya kutosho na inamtokea wakati anapotaka kupiga bao la pili na hasa anapotunia kondomu, Je afanye nini kumaliza tatizo lake?
   
  Last edited: Jul 2, 2008
 14. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2008
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 341
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mmh jf imeingiliwa!!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...very interesting! ...ndio maana baadhi ya makabila yanaendeleza mambo ya jando na unyago!
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sijui daktari atamshauri nini, ila mimi namshauri ajitahidi kuwa na stamina ya kucheza dakika 90, na ujuzi wa pasi na chenga nyingi kabla ya kufunga goli la kwanza, yote katika kujiepusha na hizo extra minutes na 'sudden death!'
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  :D

  "...mficha uchi, hazai"
   
 18. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wana JF sijajibiwa..!! Naomba majibu na kwenye hili pia..!!

  Nitashukuru nikipata majibu.
   
 19. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Nasikia wengine hata hutumia njia ya kukaba mwanamke ... ukimbana huku anaachia kwengine
   
 20. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  jamani eeh tuache kabisa zinaa ....haya ni matunda ya zinaa ... tukifanya hivyo tutakuwa wakamilifu na hatutokuwa na mapungufu kama hayo ... leo ni girlfriend umeshashindwa akiwa mke je si utafedheheka kila kukicha vikao ...

  Otherwise .. chakula ni chako ... umeona kabisa kiko tayari kwaajili yako .. papara ya nini .. dont get over excited ... unakuwa kama mwizi .. vipi bwanaaaa... take your time ... if not get your partner to help you regulate your system .. maybe akiona unaanza kupoteza network .. she diverts your mind to something else .. hata mazungumzo .. unaweza hata ukaanza kujifunza tena maisabu upya ukaanza kuisabu moja mpaka kumi ..
   
Loading...