Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
1591037163455.png

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI

Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini?

Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii?

Je, hii hawezi kusababisha ugumba?
---
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?

Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.
69e28d330de31993452fb308503ad30c.jpg
---
Nina jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatizo la kupinda kwa uume kuelekea chini; Je, eti ni tatizo? Ina madhara gani?
---
Inasemekana kuwa Wanaume wote duniani UUME wao UMEPINDA either kulia au kushoto au kwenda juu kama kifaru au kupindia kwa chini ukiwa umesimama? " lakini hakuna Mwanaume ambaye uume wake umenyooka wakati ukiwa UMESIMAMA au KUDINDA huko. Najua humu kuna Wataalam wa masuala haya ya MAUMBILE ya KIBAILOJIA hivyo naomba tusaidiane ni kitu ambacho KIMETHIBITIKA. Huko kupinda kwake kunatokana na nini au kuna maana gani labda?

Karibuni.
===

UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Kupinda Kwa Nyeti Ya Mwanamme (Peyronie’s Disease)

Peyronie's Disease ni ugonjwa unaotokana na kutengenezwa kwa uvimbe mgumu (Plaque) ulio kama kovu kwenye misuli ya uume, hali hii husababisha uume kupinda kuelekea sehemu iliyoathirika.

Hili ni tatizo la kupinda uume au kuwa kuwa mwembamba , mara nyingine hambatana na maumivu. Kuharibika kwa umbo la uume hutokea baada ya kuumia na hasa upande wa juu wa kiungo hiki. Baada ya kuumia , hutokea maumivu wakati uume ukisimama kwa kipindi kama cha miaka miwili hivi. Baadaye maumivu hupotea, lakini uume hubaki ukiwa umepinda.

Zifuatazo ni sababu za uume kupinda kama zilivyoorodheshwa hapo chini:

 • Kuharibika kwa umbo la uume hutokea baada ya kuumia na hasa upande wa juu wa kiungo hiki.
 • Baada ya kuumia, hutokea maumivu wakati uume ukisimama kwa kipindi cha miaka miwili hivi.
 • Baadaye maumivu hupotea, lakini uume hubaki ukiwa umepinda.
 • Uume kupinda pia huweza kutokea kiasili yani bila sababu yoyote.
 • Uume kupinda pia huweza kutokea bila maumivu yoyote hivyo ikawa si ugonjwa.
 • Kuvaa chupi zinazobana haswa kipindi cha balehe huchangia uume kupinda.
Dalili za tatizo hili
Katika hatua za mwanzo mtu hupata maumivu kwenye uume, Pia maumivu wakati uume unaposimama na matitizo ya uume kushindwa kusimama au kutosimama vizuri(Weak erections).

Maumivu haya yanaweza kuwa kidogo au yanaweza kuwa makali sana kiasi cha mtu kushindwa kufanya shughuli zake za kila siku.Na maumivu ya uume huwa makali sana hasa wakati wa usiku

Baadae maumivu ya uume huisha ila uume unabaki umepinda hali inayopelekea kupata shida wakati wa tendo la ndoa.

Matibabu
Matibabu ya tatizo hili yamegawanjika katika aina mbili, kwa njia ya upasuaji na kwa njia ya madawa.

1. Upasuaji
Upasuaji hufanyika kwa kuondoa Uvimbe au kovu linalopelekea uume kupinda,

Kama tatizo hili limepelekea mtu kupata matatizo ya uume kusimama basi anawekewa kifaa maalumu cha kusaidia uume kusimama(Penis implant)


1591511819901.png

2. Madawa
Mbali na upasuaji,njia nyingine ya kutibu tatizo hili ni kwa kuchoma dawa zinazosaidia kuyeyusha kovu/uvimbe unaosababisha uume kupinda.Dawa hizi zinachomwa katika sehemu iliyoathirika.

Hivyo basi unapopata dalili za tatizo hili wahi hospitali kupata msaada wa kitabibu.

Credit: Dr Healthcare.

===
eyronie's (pay-roe-NEEZ) disease is a noncancerous condition resulting from fibrous scar tissue that develops on the penis and causes curved, painful erections. Penises vary in shape and size, and having a curved erection isn't necessarily a cause for concern. But Peyronie's disease causes a significant bend or pain in some men.

This can prevent you from having sex or might make it difficult to get or maintain an erection (erectile dysfunction). For many men, Peyronie's disease also causes stress and anxiety. Penile shortening is another common concern.

Peyronie's disease rarely goes away on its own. In most men with Peyronie's disease, the condition will remain as is or worsen. Early treatment soon after developing the condition may keep it from getting worse or even improve symptoms. Even if you've had the condition for some time, treatment may help improve bothersome symptoms, such as pain, curvature and penile shortening.

Symptoms
Peyronie's disease signs and symptoms might appear suddenly or develop gradually. The most common signs and symptoms include:

 • Scar tissue The scar tissue associated with Peyronie's disease called plaque but different from plaque that can build up in blood vessels can be felt under the skin of the penis as flat lumps or a band of hard tissue.
 • A significant bend to the penis. Your penis might curve upward or downward or bend to one side.
 • Erection problems. Peyronie's disease might cause problems getting or maintaining an erection (erectile dysfunction). But, often men report erectile dysfunction before the beginning of Peyronie's disease symptoms.
 • Shortening of the penis. Your penis might become shorter as a result of Peyronie's disease.
 • Pain. You might have penile pain, with or without an erection.
 • Other penile deformity. In some men with Peyronie's disease, the erect penis might have narrowing, indentations or even an hourglass-like appearance, with a tight, narrow band around the shaft.

The curvature and penile shortening associated with Peyronie's disease might gradually worsen. At some point, however, the condition typically stabilizes after three to 12 months or so.

Pain during erections usually improves within one to two years, but the scar tissue, penile shortening and curvature often remain. In some men, both the curvature and pain associated with Peyronie's disease improve without treatment.

When to see a doctor
See your doctor as soon as possible after you notice signs or symptoms of Peyronie's disease. Early treatment gives you the best chance to improve the condition or prevent it from getting worse. If you've had the condition for some time, you may wish to see a doctor if the pain, curvature, length or other deformities bother you or your partner.

Causes
- The cause of Peyronie's disease isn't completely understood, but a number of factors appear to be involved.

- It's thought Peyronie's disease generally results from repeated injury to the penis. For example, the penis might be damaged during sex, athletic activity or as the result of an accident. However, most often, no specific trauma to the penis is recalled.

- During the healing process after injury to the penis, scar tissue forms in a disorganized manner. This can lead to a nodule you can feel or development of curvature.

- Each side of the penis contains a spongelike tube (corpus cavernosum) that contains many tiny blood vessels. Each of the corpora cavernosa is encased in a sheath of elastic tissue called the tunica albuginea (TOO-nih-kuh al-BYOO-JIN-e-uh), which stretches during an erection.

- When you become sexually aroused, blood flow to these chambers increases. As the chambers fill with blood, the penis expands, straightens and stiffens into an erection.

- In Peyronie's disease, when the penis becomes erect, the region with the scar tissue doesn't stretch, and the penis bends or becomes disfigured and possibly painful.

- In some men, Peyronie's disease comes on gradually and doesn't seem to be related to an injury. Researchers are investigating whether Peyronie's disease might be linked to an inherited trait or certain health conditions.

Risk factors
Minor injury to the penis doesn't always lead to Peyronie's disease. However, various factors can contribute to poor wound healing and scar tissue buildup that might play a role in Peyronie's disease. These include:

 • Heredity If a family member has Peyronie's disease, you have an increased risk of the condition.
 • Connective tissue disorders Men who have certain connective tissue disorders appear to have an increased risk of developing Peyronie's disease. For example, a number of men who have Peyronie's disease also have a cordlike thickening across the palm that causes the fingers to pull inward (Dupuytren's contracture).
 • Age Peyronie's disease can occur in men of any age, but the prevalence of the condition increases with age, especially for men in their 50s and 60s. Curvature in younger men is less often due to Peyronie's disease and is more commonly called congenital penile curvature. A small amount of curvature in younger men is normal and not concerning.

Other factors, including certain health conditions, smoking and some types of prostate surgery — might be linked to Peyronie's disease.

Complications
Complications of Peyronie's disease might include:

 • Inability to have sexual intercourse
 • Difficulty achieving or maintaining an erection (erectile dysfunction)
 • Anxiety or stress about sexual abilities or the appearance of your penis
 • Stress on your relationship with your sexual partner
 • Difficulty fathering a child, because intercourse is difficult or impossible
 • Reduced penis length
 • Penile pain
===
BAADHI YA MICHANGO UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU WA JF

Watu wengi uzaliwa na uume ulio nyoka ila upinda baada ya balehe sababu ni punyeto ila nimegundua kuwa watu atujui kwanini uume umepinda au unazidi kupinda.sababu kuu ya kupinda kwa uume ni punyeto inayo pigwa kitandani kwa kifudifudi.

Uume kupinda kuelekea kushoto au kulia utokana na MTU utumia mkono gani kuandikia kama una andikia au kulia chakula kama unatumia mkono wa kushoto uume utapinda kuelekea KULIA.

Na kama unatumia mkono wa kulia kuandikia basi uume utapinda kuelekea KUSHOTO hii ndo sababu watu wengi uume umepinda kuelekea KUSHOTO kwasababu ya nyeto
---
Ninatoa experience yangu mwenyewe.. Nilivyokuwa mdogo uume wangu ulikuwa straight na ulikuwa wa wastani... katika teenage ulianza kurefuka kwa kasi na kusababisha nikivaa chupi ni lazima niupindie upande mmoja ilitokea tu nikawa naupindia zaidi kushoto. Na wenyewe umeelekea hukohuko kushoto.

Nilitamani nisiwe navaa chupi kipindi hicho ila balaa sasa nisipovaa kwa bahati mbaya ukashtushwa ukasimama inabidi nitafute mahala nikae kwanza. so kuondoa hizi adha ilikuwa lazima niubane kwa chupi tight. mpk sasa umepinda ila ukierect na kuingia kwenye K uko kawaida coz nafeel angle zote za K.
---
Sitazungumzia sababu za kujipinda bali nitazungumzia matokeo ya kujipinda kwende tendo.

Ni hivi, what makes a woman get satisfied during sex is to friction (In and out of pen..s), so the stronger the friction, the easy it is for a women to reach climax.

So maumbile yaliyopinda yananafasi kubwa zaidi ya kumfurahisha mwanamke zaidi kuliko yaliyo nyooka coz kunyooka kwa maumbile ya mwanaume means easy penetration which reduces friction ambayo ni muhimu sana.

Ndio maana utakuta mwanaume akiwa kwa tendo atajitahidi kutumia maujuzi mbalimbali ili aweze kuzingusa vizur kuta za uke wa mwanamke lakini kwa mwanaume mwenye maumbile yaliyopinda huwa anakuwa na nafasi kubwa sana ya kuzisugua kuta za uke kirahisi hata bila kutumia nguvu.

Samahan sijatumia lugha kali za kidaktari kutokana na jukwaa husika.
---

Mkao wa penis uko tofauti japo matendo ya binadamu yanaweza kuadhiri muelekeo wake. Kwa mfano mtu anaefanya masterbation sana kuna uwezekano penisi yake ikaelekea kushoto au kulia. Mielekeo ya kiasili ya penisi iko ya aina tatu, mosi-

Iliyonyooka kuelekea mbele (straight penises pointing straight ahead).

mbili- penis yenye umbo la ndizi-iliyopinda kuelekea juu (banana penises that point straight ahead), na ilyopinda kuelekea chini downward (curving penises that point straight ahead).

Pamoja na mambo mengine ambayo yameshatajwa uvaaji wa nguo zinazobana ambazo zinafanya penis ibanwe upande mmoja kila siku basi itazoea hukohuko, ila kikawaida huwezi kubana penis kuelekea chini au juu.
 

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Kuna jamaa yangu ana uume uliopinda kuelekea kulia 90 degree pind unapo erect pia anapesex manii huwa hayatok kwa kac yaani yanakua kama yanamwagka huku mengne yakbak kweny mrija.

Je, hil haliwezi kuleta utasa? na je husababishwa na nn? je anaweza kutibka? wana JF 2naomba taaluma zenu juu ya hili.
 

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,700
Huna tatizo mwaya ni jambo la kawaida uume kupinda ila usivae chupi za kubana sana,hio ya manii nayo sidhani ni tatizo una wasiwasi wa bure tu...
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
41,026
30,671
kuna jamaa yangu ana uume uliopinda kuelekea kulia 90 degree pind unapo erect pia anapesex manii huwa hayatok kwa kac yaani yanakua kama yanamwagka huku mengne yakbak kweny mrija. je hil halwez kuleta utasa? na je husababishwa na nn? je anaweza kutibka? wana JF 2naomba taaluma zenu juu ya hili.
Kupinda sio tatizo na kutoka kwa hayo manii kwa njia ya taratibu pia sio ugonjwa ni Maumbile ya Mtu inategemea huyo jamaa yako uume wake ni Mkubwa kiasi cha kupinda. Muulize swali moja je anapofanya tendo la mapenzi jee

huwa anajisikia Raha au Maumivu? kama anajisikia Raha wakati wa tendo la mapenzi basi hakuna mdhara yoyote Uume kupinda na kuwa ni mrefu la kama anajisikia maumivu wakati wa tendo la mapenzi basi itabidi aende hospitali na kumuona Daktari ili amuelezee hayo matatizo yake huo ndio ushauri wangu. Nakuuliza Swali Mwenzangu je wewe ni mwanamke au Mwanamme?
 

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
551
Hakuna tatizo hapo. Kama unapinda upande fulani utakua unamletea mpenzi raha tofauti hambayo hataipata kwa zilizonyooka kama mstimu wa umeme.

Lakini usimsingizie mtu mwingine. Tatizo ni lako, na si tatizo kwa ukweli, ni maumbile
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,711
1,249
Samahani wakuu, hivi kuna uume ulionyooka bila kupinda? Experience yangu ni ndogo kwenye hii fani.
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,753
6,526
kwani si unasimama
hakuna tatizo bana na wala halina effect yoyote kwenye sex na kutoka kwa shahawa bila speed sio kwamba hazina nguvu ni hali ya kawaida tuu
ngoja waje madoctor watakupa zaidi

shahawa zinatakiwa zitoke kwa speed ili zifikie mayai kwa ajili ya urutubishaji. Kama hazina speed, zinaweza zisifikie mayai na hivyo kutkuwa na uwezo wa kurutubisha kwa mda unaotakiwa. Tafuta namna nyingine ya kumsaidia
 

Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,038
456
Inaonekana hilo suala la jamaa yako linakutesa sana kisaikolojia! Usikonde bila sababu, kupinda mchuma kitu ya kawaida, hata utokaji wa shahawa kwa staili hiyo si tatizo pia!au unataka zitoke kama risasi? uzazi utapata tu maana najua we hiyo ndo hofu yako
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
14,093
18,377
kama unataka msaada ueleze imepinda kuelekea upande gani, kwani kuna upande ambao unaweza kuwaletea madhara kwa wote wawili.
 

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,353
859
Kupinda inaweza kutokea kama huwa unailaza uelekeo mmoja na unatumia chupi za kubana sana. Badilisha uelekeo. Kama inakuletea maumivu ikiwa imesimama pata ushauri wa daktari
 

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
Mkao wa penis uko tofauti japo matendo ya binadamu yanaweza kuadhiri muelekeo wake. Kwa mfano mtu anaefanya masterbation sana kuna uwezekano penisi yake ikaelekea kushoto au kulia. Mielekeo ya kiasili ya penisi iko ya aina tatu, mosi-

Iliyonyooka kuelekea mbele (straight penises pointing straight ahead).

mbili- penis yenye umbo la ndizi-iliyopinda kuelekea juu (banana penises that point straight ahead), na ilyopinda kuelekea chini downward (curving penises that point straight ahead).

Pamoja na mambo mengine ambayo yameshatajwa uvaaji wa nguo zinazobana ambazo zinafanya penis ibanwe upande mmoja kila siku basi itazoea hukohuko, ila kikawaida huwezi kubana penis kuelekea chini au juu.
 

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,908
1,634
Uume wangu umepinda. Hapo zamani ulikua umenyooka lakini kipindi cha balehe yaani wakati wa kuanza dinda na kwa kua uume mrefu basi chupi ilikua inanibana na kupelekea kupinda kwenda chini msaada nitaunyooshaje
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,091
Duuuhhh kama bado unafanya kazi. Usihangaike kuunyosha unaweza kuharibu zaidi.
 

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
81
Kama ulizoea kuuweka upande mmoja wa chupi yako basi badili upande utaanza kuuona ukielekea upande huo, ukifikia kati acha kuvaa chupi au uwe leo wauweka kulia kesho kushoto.
 

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,768
1,689
Hakuna uume ulionyooka kama ruler, zinazidiana tu lakini cha msingi inasimama deede!!!
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom