mkwezi kidonda
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 163
- 32
Chukulia kama umeingia pale mirembe na ukakuta wale wagonjwa wanachangia hoja . Utachekaje?
Habari wana MMU,
Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.
Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....
hivi, sita kaenda kuomba, Kardinali na mufti Simba, wawe wajumbe pia, Six ana mbwembxe..!
Dr. Slaa kaiganda UKAWA kama ruba. Utadhani na yeye ni mjumbe wa katiba.
Mi naona bora serikali tatu tuu.
yaani atletico madrid knocked out the mighty?? can't believe it.. afu man united bana.. hivi walitegemea kushinda jana, lol
Kwa sababu mtu wa kwanza hapo juu amewavuruga
Ni nzuri kuzitazama mkiwa wabee kabla ya mchezo
mwenzio nilikuwa natazama marudio ya mechi ya jana kati ya Man u na Bayan nikiwa Bar. Jamaa mmoja akatuwekewa TBC1 kuangalia bunge la katiba..... tulisonya hadi ndimi zikauma. then nikaondoka zangu
kuna mbunge wa kijani nimekutana nae hapa korido ananuka tumbaku....
mlio post kisichohusiana na mada ni wa .. e