Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,512
Shida yako unashadadia vitu usivyovijua we kaa na hoja yako ya serikali tatu utaona, nikuulize swali ukipewa nafasi wewe uwe raisi utapenda uongoze nchi hani kati zile tatu?
Acha ukenge wewe ufahamu wangu unaupima kwa kigezo kipi?
Nikujibu kwa kifupi sana nitapenda niongoze nchi yangu Tanganyika....
After all tunazungumzia Serikali na si nchi so jifunze kutofautisha
ni vitu ambavyo havifanani hata siku moja.