Madhara ya video za ngono na picha uchi katika imani.

Madhara ya video za ngono na picha uchi katika imani.

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
601
Habari za asubuhi wana jf, PICHA ZA UCHI au VIDEO ZA NGONO hivi ni vitu ambavyo vinachukua nafasi kubwa katika ubongo wa binadamu ambapo muda mwingine huifanya akili kua polepole katika kutafakali kitu chamsingi na chenye manufaa kwa ujumla. Imani huathilika kutokana na uwepo wa vitu hivi katika akili ya mtu na kumfanya apate kuona zinaa nikitu cha kawaida na hata kuoa maamuzi ya kufanya jambo analolijua kua ni dhambi ila husema "nitatubu", ambapo kwa asilimia takribani 75% anakua mtu ambae zinaa kwake sijambo kati ya majambo ya dhambi na imani yake hushuka kiasi baada ya imani ya pili ambayo haiendani na imani ya kumuamini mwenyezi mungu.
 
Una ya dakika mbili hapo unipe connection
 
picha na hizo video ziko wapi

bila hivyo viambatanishi huu ni uchonganishi
 
Lust is an energy that need to be controlled by your innerself. Lust is not a sin. To be sin it will depend on where have you directed it. If lust make you to think about sex you have committed adultery sin. Like wise if lust will be directed toward physical exercises and just to keep buzzy for yourself you won't be counted as a sinner. Remember according to 2nd Principle of Thermodynamics. Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another. Think about lust(energy) which cannot be created(something you have) or destroyed(No way to get rid of lust) but can be transformed from one form to another(depends on where you want to deposits).
 
Kuna videos mpya za sungura tope wawili.

Mmoja anajiita Kipira Line 2 na mwingine anajiita Gusa Unase.

Huyu Gusa Unase akaulizwa kwahiyo utumie jina la Gusa Unase Line 2? Akajibu Line 2 sa mi sifirani
 
Habari za asubuhi wana jf, PICHA ZA UCHI au VIDEO ZA NGONO hivi ni vitu ambavyo vinachukua nafasi kubwa katika ubongo wa binadamu ambapo muda mwingine huifanya akili kua polepole katika kutafakali kitu chamsingi na chenye manufaa kwa ujumla. Imani huathilika kutokana na uwepo wa vitu hivi katika akili ya mtu na kumfanya apate kuona zinaa nikitu cha kawaida na hata kuoa maamuzi ya kufanya jambo analolijua kua ni dhambi ila husema "nitatubu", ambapo kwa asilimia takribani 75% anakua mtu ambae zinaa kwake sijambo kati ya majambo ya dhambi na imani yake hushuka kiasi baada ya imani ya pili ambayo haiendani na imani ya kumuamini mwenyezi mungu.
Zungumzieni mauaji na utekaji achaneni na Watu wanakula Starehe zao ambazo Hazina Madhara kwa watu na Jamii.

Acheni Utapeli
 
Kwani ubongo una megabytes ngapi hadi uwe pole pole ukiweka hizi mambo, na by the way kwani mambo ingine haijazi memory na kuathiri speed ya ubongo, mambo kama simba na Yanga au siasa za kina Mwigulu
 
Back
Top Bottom