makoye78
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 672
- 229
Mkuu hata mie sielewi aisee! Ngoja tusikilizie tuone picha linaishaje....!Sijui kuna ajenda gani ya siri
Mkuu hata mie sielewi aisee! Ngoja tusikilizie tuone picha linaishaje....!Sijui kuna ajenda gani ya siri
Shida yako unashadadia vitu usivyovijua we kaa na hoja yako ya serikali tatu utaona, nikuulize swali ukipewa nafasi wewe uwe raisi utapenda uongoze nchi hani kati zile tatu?[/QUOTE
Hahhhhahhhhhahhha shangaaa eti dunia kijijii wakati duniaa ni jijii nasikia Joshua katabiri ipo Gamboshiii huko Shinyangaa
wewe unajua muelezee...
Yetu macho na masikio, kabisa mkuuMkuu hata mie sielewi aisee! Ngoja tusikilizie tuone picha linaishaje....!
Hivi unajua bangi inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa wapi?
bunge la katiba liahirishwe
Hahahaaa.... makubwa haya! Chezea Gamboshi wewe? Kwa kukukumbushia tu mkuu Dinazarde, Gamboshi kwa sasa iko mkoa mpya wa Simiyu na si Shinyanga tena! Waende wakaiokote ndege yao, Wanyantuzu wameshafanya yao!Hahhhhahhhhhahhha shangaaa eti dunia kijijii wakati duniaa ni jijii nasikia Joshua katabiri ipo Gamboshiii huko Shinyangaa
haaahhahahah hii ndio JF ..mtoa mada pole wote wapo against na wewe
ngoja View attachment 150256
Habari wana MMU,
Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.
Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....
mnaihujumu hoja jaman.
mbona mambo ya katiba yana jukwaa lake!