Pornograph(picha za ngono)

Pornograph(picha za ngono)

kweli pilau imejidhihirisha ni mchanganyiko wa viungo vingi ndio maana ni tamu sanaaa! walahiiii!
 
Huko mji kasoro bahari, uliko mlima uluguru kuna mama mmoja mitaa ya Nane nane kilipo chuo kikuu cha Jordan amechoma nyumba ya wapangaji wake wanachuo kisa wivu wa mapenzi na mumewe na kusababisha hasara kwa mali na ada za wanachuo hao zilipoteketea wakiwa darasani, eti kumbe mkiwezeshwa mnajiweza hivi eeh???
 
Mkuu malaysia airline haijapatikana?
 
Mkuu malaysia airline haijapatikana?

Asubuhi hii ya leo ijumaa yaani saa nane usiku hapa Tz, waokoaji wamepeleka machine za hatari eneo iliposikika milio ya hicho kinachoitwa black box, na kuwa ndo ile MH370 iliyopotea, kwa hiyo ndege tutaipata hivi karibuni.
 
daah hi iwe fundisho kwa mbweha wengine wanokurupuka kujaza seva............hahahahahaha
 
Back
Top Bottom