Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Last edited by a moderator:
Katiba mpya itambue umuhimu wa kuwapa huduma ya kwanza mashabiki wa arsenal kwa ajili ya pressure za gafla
Hahahahahah haya rudi kwenye mada kuhusu hayo mapichaa
Mada haipo hapaa nasikitika tu Barca kutolewaa sijalala miee
Si nimesikia yule dada wa eateli anasema wanakuja kuweka kambi ya mazoezi bongo na fununu nilizozipata eti watatumia uwanja wa lidazhivi manyuu haiwezi kupigwa bei?
Katiba mpya itambue umuhimu wa kuwapa huduma ya kwanza mashabiki wa arsenal kwa ajili ya pressure za gafla
Hawa trafiki wanakera sana,wamekamata baiskeli yangu kisa haina kengele.
Nafuu yako. Mimi wamekamata baiskeli yangu kosa eti tairi ya nyuma kipara sababu ya kumpakia shemeji yako. Nimelipa faini elfu 70.
hahahhahahahaha umeniuwa mbavuMi naona bora serikali tatu tuu.
Hivi unajua bangi inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa wapi?
Hahahaa haaaa
Mwee mwee mwee