hivi ni lini dala dala zitaanza kwenda zanzibar?
natamani sana nauli ya ndege iwe 400!
Inabidi tujichukulie sheria mkononi,mods wanaachia sana mada za kitoto. Ukiiona mada ya kitoto tushtuane tuje tuharibu!
#team sheria mkononi.
unataka kwenda marekani kwa mbebez mange kimambi ama?Hahhhhhahhhha siku hiz una mbwelaaaa weyee hata mi natamani nauli ya Kwenda Marekani iwe 50000 tu
unataka kwenda marekani kwa mbebez mange kimambi ama?
nasikia amehamia beverly hills bana, amenunua jumba pale la dola milioni 6!
wabongo mna hela kumbe....
Je, ni kweli Osama ajafa? au ni kweli ameuliwa?
Je, ni kweli JESUS of Nazareth atarudi tena duniani?
.....Ni hayo tu kwa sasa.........
Tangawizi ina faida gani mwilini?
Naomba nisaidiwe jibu
Deo nini tena??? Unataka kuua mtu kaka? Hebu MDDoctor kaa pale mlangoni asitoke mtu mpaka kila mmoja ahakikishiwe usalama wake
Na je ni tangawizi ipi inafanya kazi haraka/inaponya haraka - ile ya kuponda kisha unatumia kama ilivyo au ile wanayoweka kwenye chai au maji ya moto?Inasaidiaa kuuwashawasha mwili wako hasa koonii
Hivi ndege ya Malaysia iliyopotea bado tu haijapatikana? Halafu eti bado tunasema dunia ni kijiji? Duh, hakyanani iko siku itapotea nchi nzima na tusiione tena!!!!! Aaaarah... tena si hata Tanganyika ilipoteaga hivi hivi?
Na je ni tangawizi ipi inafanya kazi haraka/inaponya haraka - ile ya kuponda kisha unatumia kama ilivyo au ile wanayoweka kwenye chai au maji ya moto?
Naomba nisaidiwe tena jibu, samahani kwa usumbufu
Asante sana mkuu, nitatekelezaTafuta tangawizii ya Tangaa ni kiboko kuliko zoteee
Sijui kuna ajenda gani ya siriHivi ndege ya Malaysia iliyopotea bado tu haijapatikana? Halafu eti bado tunasema dunia ni kijiji? Duh, hakyanani iko siku itapotea nchi nzima na tusiione tena!!!!! Aaaarah... tena si hata Tanganyika ilipoteaga hivi hivi?