Pornograph(picha za ngono)

Pornograph(picha za ngono)

Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
Watu wa viwango nao sijui huwa wanawaza nini, wanajua sigara ina athari kubwa kwa afya sasa badala ya kuipiga marufuku ndio kwanza wameihalalisha

Na cha ajabu katika pakiti kwa nje wametoa tahadhari sigara si nzuri kwa afya yako

Wajameni mbona inachanganya sana
 
Safi sana brains, huwei kuleta hoja hazisaidii halafu tukubali kujibu tu. Mleta mada nafikiri hili ni somo. Nimepita tu kwa page 1 naona kuna up to page 3 sijajua pages 2 na 3 wamemjibu kitu gani!!!
 
yaani nimechoooka kweli na nimecheka mnooo maana kila mtu kaweka mada yake ila hii nimeipenda maana haina mahusiano kabisaaaa

mada yenyewe tata hapo juu unadhani tutachangiaje
 
Habari wana MMU,

Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.

Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....

Ujinga tu not more than ignorance
 
Hebu tuburudike na hiki kibao kiitwacho Earth angel kutoka kwa wakali The Penguins
 
Last edited by a moderator:
Ile bangi wanayovuta kule BMK inatoka lile jimbo la usa marijuan free state
 
Hahhhhhhahhhhha kisa cha kusonyaa ni niniii

wengi tunaonekana kukatishwa tamaa na kinachoendelea bungeni. nakwambia sikuamini misonyo na matusi yaliyotoka kwa watu waliokuwepo pale. nusura na mimi nitukane eti.

Siipendi TBC!!!! Bora ingelikuwa channel nyingine huenda ningeangalia mjadala bungeni wa katiba!
 
Bunge La Katiba Livunjwe,Na warudishe Posho
 
wengi tunaonekana kukatishwa tamaa na kinachoendelea bungeni. nakwambia sikuamini misonyo na matusi yaliyotoka kwa watu waliokuwepo pale. nusura na mimi nitukane eti.

Siipendi TBC!!!! Bora ingelikuwa channel nyingine huenda ningeangalia mjadala bungeni wa katiba!

Bora serikali 3
 
Mimi naona kila mtu awe na serikali yake tuheshimiane mnaonaje wajumbe?
 
Habari wana MMU,

Miaka ya hivi karibuni kumekua na wimbi kubwa sana la ongezeko la picha hizi za porn katika mitandao mbali mbali na sababu kubwa ninayoiona mimi ni kukua kwa teknolojia duniani.

Hivyo ningependa kupata michango yenu juu ya faida na hasara ya picha hizi hasa katika mahusiano ya kimapenzi
karibuni....

Zina faida zaidi kuliko hasara. Kwanza zinatoa burudani na darasa la bure kwa vijana, hakuna risk ya mimba zisizotarajiwa wala magonjwa ya zinaa, na miaka ya karibuni technology imesaidia zinapatikana kwa urahizi zaidi.
 
me naona serikali ziwe nyingi tuu kwani kila jimbo liwe na mamlaka yake kama Marekani na kwinginekoo
 
Back
Top Bottom