Pornograph(picha za ngono)

Pornograph(picha za ngono)

hahaha...duh ndo maana naipenda sana JF nimecheka sana asubuhi ..mmenifurahisha sana guys, naona mtoa hoja kajificha kimya anakuja kuchungulia na kusepa tu.

haha naona haoni pa kuanzia ili arudishe hoja yake dah.
 
Amini usiamini serikali tatu hazifai jamani.maana zikiwepo ni kwamba hakuna muungano coz kila nchi itasimama yenyewe ss na hiyo serikali ya tatu cjui itakua inaishi vp hpo??

Hivi ninyi watanganyika nani kawaroga hata muikane nchi yenu? Hivi siku ya kiyama tukikuta watu wanapaswa kukaa ki nchi tutakuwa wageni wa nani maana tanganyika itatukataa na hakuna nchi inayoitwa tanzania kule....amkeni serikali tatu mpango mzima.

 
Hahahah mara katiba,mara porno,mara mpira,yan naona nyota nyota
 
Ukweli waznz wameamka na kudai znz yao kwa nn tuwanganganie kama hela?mi naona cc tuwe na selikali yetu na kule wawe na ya kwao than tuone nani atapata maendeleo zaidi?kuna0usili gani mpaka lazima kuwe na selikali 2?
 
Ah shit kila nikienda Arusha nkirud dar naona foleni haijaisha tu na sijui itaisha lini
 
UKAWA ya nje ya bunge endeleeni kuelimisha wananchi maana wengi hawaelewi kwa kuwa wamelishwa propaganda za uongo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yaani kaka Deo Carleone niliposoma hu mchango wako nikalinganisha na uzi wenyewe then picha ya Ole Sendeka na Said Mkumbwa na yule mwenyekiti wa wazazi wa ccm bila kumsahau mzee wa tunguli Kingunge, daa kweli nicheka kweli aise, asante sana kaka, Du!
Hivi unajua bangi inayotumiwa na wajumbe wa bunge la katiba,bado haijajulikana inalimwa wapi?
 
Excel ulempango wetu vipi? naona upo kimya utafiti mbona umepotea jamaa anazungumzia serikali tatu hapa...njoo umsaidie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom