Umepiga kwenye mshono...bado anapumua...
 
Mike Tee ft Juma Nature - nampenda nani 🎶🎶🎶🎶 awe mnyaki msanzu mweusi mweupe asiwe mgogo, mfano kukataa anasema ndeema kila napomgusa anahemaa, kusema toka hapa anasema egepa, ngoma ikikata anasema imenyopa, hivyo ndvyo mapenzi ya kinyalu yanavyo kwendaga. 😅😅😅
 
Mimi ni mkongwe JF tangu 2011 ila ninae single na ana mimba
 
Wewe unachukia wanawake tunakujua, single mothers or not tunakujua topics zako
 
Robert Heriel Mtibeli ikiwa mwanaume una watoto 4, unaruhusiwa kumuoa single mother..

Huyo single mother ana mtoto mdogo wa miaka 2.6, baba mtoto hayupo kabisa kwenye maisha yake, na endapo mwanaume utakubali basi huyo mtoto anakuwa wako 100%.

Huyo single maza anafaa au hafai bwana mkubwa.
 
Ktk aina 3 za single maza, mada yako inazungumzia aina ipi zaidi?

1.alieachika
2.aliezalia home
3.mjane
Mi nadhani kaongelea namba 1 na 3,, maana namba 2 haifai hata kumuita single mother,,maana hakua rasmi kindoa na wengi wao baba wa mtoto huwa hawamjui au anamjua lakini kamwe hatojitokeza hadharani kwake binti,,huyu pia si hajabu akawa bikra,safi kabisa afaaye kuelewa.
 
 
Wewe unachukia wanawake tunakujua, single mothers or not tunakujua topics zako
Mkuu mbona kila mtu anaekosoa au kutoa pendekezo la mahusiano unamuonaga mchukia wanawake?? Hivi hamnaga ukweli wowote kwenye hizi mada unaong'amua?? Hupendi ushauri mkuu au pengne lugha inatumika kali unavoona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…