Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Hao ndio wataitoa Dola?

Unashikwa kama kuku?

Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
Jina masawe mfuasi wa mbowe uliye amini CHADEMA ya ni ya wachaga ,unafurahia Lissu kukamatwa eti kisa anadai uchaguzi huru na haki, hakika wewe utakuwa una matatizo makubwa sana akili si bure, na sidhani kama unaijua kesho ya wajukuu zako maana huna future thinking kweli mafisadi ya CCM yamepata watetezi wajinga sana walio amua kuwa wazalendo kwao na sio kwa nchi.
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
20250211_191743.jpg
 
Nchi ilikuwa imeanza kunawiri kwa wapinzani kufanya mikutano yao, kamatakamata ya kipuuzi imeanza tena, hii ni hatari sana na si afya kwa taifa, ni aibu kwa mataifa yanayofuatilia siasa za nchi hii
 
Jina maswawe mfuasi wa mbowe uliye amini CHADEMA ya wachaga ,unafurahia Lissu kukamatwa eti kisa anadai uchaguzi huru na haki, hakika wewe utakuwa una matatizo makubwa sana akili si bure, kweli madisadi wa CCM wamepata watetezi wajinga sana walio amua kuwa wazalendo kwao na sio kwa nchi.
Sijawah kuwa mfuasi wa Chama hicho cha Ushoga na Matapeli.

Mbowe Yupi? Huyo mlevi?

Uwe na adabu dogo
 
Nchi ilikuwa imeanza kunawiri kwa wapinzani kufanya mikutano yao, kamatakamata ya kipuuzi imeanza tena, hii ni hatari sana na si afya kwa taifa, ni aibu kwa mataifa yanayofuatilia siasa za nchi hii
Kalale ukue dogo!

Aibu gan!?? Msiopofwata sheria mtapigwa tu
 
usishapaze shingo, huwezi kujua kesho nini kitatokea, kiburi si uungwana, mtaanguka vibaya sana kwa njia msiyodhania
Utaangua wewe na kuzikwa

Mnadhani tunacheza na dola kifala?

Yaan Huyu Lissu anaeshikwa na odc kama kuku ndio wa kutuzuia kutawala?
 
Sijawah kuwa mfuasi wa Chama hicho cha Ushoga na Matapeli.

Mbowe Yupi? Huyo mlevi?

Uwe na adabu dogo
Mchaga mjinga ni wewe wachaga wenzio wana akili timamu ,unashupaza shingo ukidhani unatetea chama cha mapinduzi kumbe una tetea kikundi kidogo kilicho jilimbikizia mali za wizi kwenye nchi kwa mgongo wa chama , nakushauri uwe mzalendo kwa nchi sio kwa mtu wala chama maana chama kinaweza wekwa mfukoni na wezi wa mali za umma kama ilivyo sasa
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Hoja hujibiwa kwa hoja—hazipigwi rungu. Piteni kote wanakopita mjibu tu hoja zao! Kama hoja zao ni trivial, wapuuzeni.
 
Unaandika upuuzi kupongeza polisi kumkamata Lissu hujui impact yake wewe
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Mjinga akishika bunduki anajiona ana nguvu sana....kuna siku watazitupa hizo bunduki
 
Utaangua wewe na kuzikwa

Mnadhani tunacheza na dola kifala?

Yaan Huyu Lissu anaeshikwa na odc kama kuku ndio wa kutuzuia kutawala?
Hapa duniani mnapita tu wajemeni yawezekana wengine hata huu mwaka hamta umaliza ,hata magufuli aliamini yeye ni jabali lisilo tikisika hadi akawa anaua wenzie alinde nafasi yake hadi hivi sasa tunapo ongea yupo chini.
 
Utaangua wewe na kuzikwa

Mnadhani tunacheza na dola kifala?

Yaan Huyu Lissu anaeshikwa na odc kama kuku ndio wa kutuzuia kutawala?
ocd anapokea order toka juu mbwa mwitu wewe, hujui impact ya kukamatwa Lissu, hata huo mshahara wako wa kufanya abrakadabra hii unaweza ukaukosa. na kwa nini uwe na chuki binafsi na lissu badala ya chama kizima? Lissu anawasilisha matakwa ya wananchi wengi zaidi ya wanachama wa chama chake. wananchi wamechoka na namna uchaguzi unavyofanyika wanataka uchaguzi huru na wa haki. kamwe hamtaweza kuzuia haki isitendeke
 
Wewe utaishi milele?

Kifo ni haki ya kila mtu ila wewe ukitangulia kwa uzembe wa kumshabikia chiba si utakua punguani
Kama unalijua hilo kwamba kifo ni haki ya kila mtu basi ishi kwa kuitafuta amani na watu wote , usiwe shabiki wa mtu bali ijenge kesho yako njema na ya vizazi vyako , ili kesho wajukuu zako wanapo iongelea tanganyika basi hata wewe ufurahie mchango wako chanya , sio kama sasa unakuwa kibaraka na chawa wa mafisadi walio jificha kwenye chama nila weqe mwenyewe kujijua, na wewe unakuwa kama zuzu na kuwa mzalendo kwao wakati wenzako wananufaika na mali za umma wanazi iba huku wewe unaishia kushangilia mateso ya wasio hatia, shtuka
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Akili ndogo!! Najua madhara ya tukio hilo hautaweza kuyajadili humu
 
Wewe utaishi milele?

Kifo ni haki ya kila mtu ila wewe ukitangulia kwa uzembe wa kumshabikia chiba si utakua punguani
inawezekana ukawa uvccm wa kitengo cha propaganda. Jifunze kuheshimu watu na fahamu kuwa Lissu si adui wa taifa, zaidi Lissu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili
 
Back
Top Bottom