Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Mbona unakuwa mpuuzi namna hii? Wapenda demokrasi hatujapenda na tunalaani kitendo hicho
Demokrasia kutukana na kueneza upumbavu?

Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia

Asijione yeye ni mjanja sana

Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.

Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
ni kwa style hiyo hiyo ndivyo vibaka na matapeli wa kisiasa wengine pia hukamatwa,

ni kirahisi mno kwakweli na hakunaga matata kabisa 🐒
 
Demokrasia kutukana na kueneza upumbavu?

Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia

Asijione yeye ni mjanja sana

Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.

Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
Wewe ni mtu duni sana kwenye nchi hii, Muulize Jiwe aliyekuwa anakutumia
 
Na mfahamu kwamba mpinzani si Lissu tu wapo wengine undercover watawasumbua mpaka mshike adabu zenu. Avumaye baharini ni papa, wengine wapo, hata kwenye chama chenu wapo, ni underground
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Kamchezea simba sharubu,atatia akili.
 
Na mfahamu kwamba mpinzani si Lissu tu wapo wengine undercover watawasumbua mpaka mshike adabu zenu. Avumaye baharini ni papa, wengine wapo, hata kwenye chama chenu wapo, ni underground
Waliokuwepo uwanjani kwanini hawajasumbua? Yaani Lissu anapoteza nguvu huku wewe umekamatia mbususu hapo unaioumulia tuu mwenzio ananyea debe huko 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom