Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Jamaa kashikwa kama unamkamta kahaba wa manzese 😂😂😂

Huyo ndio anakuambia atakinukisha😂😂
g55 wamemvuruga kabisa kisaikolojia huyo mjamaa,

ndio maana anaropoka ropoka kwa makusudi ili akamatwe na polisi kutafuta kiki atrend, baada ya mikutano aloifanya maeneo mbalimbali kuonekana ni useless na completely nonsense kwa wanachadema na wananchi kwa ujumla 🐒
 
Na mfahamu kwamba mpinzani si Lissu tu wapo wengine undercover watawasumbua mpaka mshike adabu zenu. Avumaye baharini ni papa, wengine wapo, hata kwenye chama chenu wapo, ni underground
Unadhani atuwajui?

Sasa kwa Taarifa yenu hao ndio wanawachezea akili

Siku ya Uchaguzi mtakua hoi mmefarakana kama walevi wa gongo
 
Demokrasia kutukana na kueneza upumbavu?

Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia

Asijione yeye ni mjanja sana

Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.

Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
kiburi huangusha dola kama hujui, kuweni makini msije anguka kwa aibu
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂

😂😂😂 mfaidika ni Mama sio wewe na uchawa wako. Ni mjinga tu atasifia kukandamizwa kwa mtu ambaye anapigania chaguzi huru. Yaani kwa akili yako ndogo hujui mpaka leo kwa kulewa uchama Lissu anapigania nini hasa. Watoto wako au wajukuu wakija kuangalia nyuma watakojolea kaburi lako kwa ujinga ulionao
 
Kwisha kabisa.Anachezea sharubu za simba
 
Unadhani atuwajui?

Sasa kwa Taarifa yenu hao ndio wanawachezea akili

Siku ya Uchaguzi mtakua hoi mmefarakana kama walevi wa gongo
uachage kuandika upumbavu hata kama unaishi kwa kazi hiyo. Dola ni dude moja kubwa sana na lina nguvu nyingi ila kiburi hufanya lianguke kwa aibu pamoja na kuwa lilikuwa na nguvu, take care
 
Lissu kakamatwa waliokua wanategemewa wataandamana wanabishania simba kumfunga Al masry yani hawana habari
 
😂😂😂 mfaidika ni Mama sio wewe na uchawa wako. Ni mjinga tu atasifia kukandamizwa kwa mtu ambaye anapigania chaguzi huru. Yaani kwa akili yako ndogo hujui mpaka leo kwa kulewa uchama Lissu anapigania nini hasa. Watoto wako au wajukuu wakija kuangalia nyuma watakojolea kaburi lako kwa ujinga ulionao
Kwamba Lissu ni mkombozi?

Bro una akili sawa sawa kweli?

Huyo anaendeshwa pale Belgium na Ujerumani?

Ujerumani huyu huyu alietawala na kuiba mali zetu?

Yaan Lissu anapata matapeli wenzake huko ulaya anawadanganya ana uchungu na watanzania?

Ujue nyie ndio wale wapumbavu msiojua nani yupo nyuma ya huyo
 
Mwangalie Omari Mahita hali aliyo nayo sasa kama kielelezo cha ushetani.

Unayefuatia ni Wewe.
Hiyo hali hata cardinal pengo anayo,ni uchakavu,uzee..we maziwa yako bado yamesimama kama ulivyokua 17!?..
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Umetumwa na Mbowe?
 
Kipara mangi unaonekana vyema mguuni pale:

1744224725751.png

Mtakuwa bila shaka kwenye kujipongeza.
 
Angalau wananchi walikuwa wanafarijika na kupata matumaini wanapoona wapinzani wakifanya siasa zao kwa amani bila kusumbuliwa. Nyie mmechokwa na sera zenu, mnastahili kupumzishwa nanyi muwe wapinzani pengine mtakuja na mawazo mapya kwa wananchi. Acheni wananchi wafurahie siasa za wapinzani ndio faraja na matumaini yao
 
Back
Top Bottom