Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

inawezekana ukawa uvccm wa kitengo cha propaganda. Jifunze kuheshimu watu na fahamu kuwa Lissu si adui wa taifa, zaidi Lissu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili
Lissu ajawahi kuwa mzalendo ziadi ya kusaka umaarufu wa kipumbavu na kuhudumiwa na mabwana zake

Sikia ndg... umjui Tundu bro umjui tulia kabisa

Wanaomjua Tundu wanamkataa mmoja mmoja

Kiburi cha Lissu kwa kudanganywa Kanisa katoliki linamuunga mkono kipo Ukingoni.
 
Chadema. Inakazi ya kujipanga hawana tahadhari muda wote mwenyekiti anahutubia ,hawajiulizi kwann mipolisi ijae hivyo

Walinzi wa lisu waende shule ,Lisu ajifunze kwa Laila odinga walinzi humtorosha ,hii itafikia hatua lisu kupigiwa simu
 
Huwezi kuona damage waliyofanya Police kuanzia kwenye mitandao mpaka kwa raia kwa sababu akili hamjawahi kuwa nazo.
Hao ndio wataitoa Dola?

Unashikwa kama kuku?

Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
 
Yaani wewe ukiniamini inisaidie nini? Lissu kwangu atabaki kuwa muhuni kwa ule ushenzi aliofanya kwenye chaguzi....
Katika uhuni wote nchi hii umeona huo ndio uhuni na unastahili kuwa uhuni kuliko uhuni mwingine?
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Michawa ya MBOWE mna chuki Dana aisee
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Nimeona video clip moja kumbe nyumbu walipata kichapo cha kutosha.
 
Mnatumika vibaya. Ila kihama chenu kimewadi. Lisu ni mpango wa Mungu,Kama unabishana na hili mwulize bashite.
 
1744240899929.png

1744240931752.png
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Kwa hili polis mkoa wa Ruvuma wameharibu Sana, Kwa nn mikoa hiyo mwingine haijatokea vurugu? Kwa maoni yangu RPC anapaswa kujiuzulu.Mambo ya kisiasa inatakiwa yamalizwe kisiasa...
 
Demokrasia kutukana na kueneza upumbavu?

Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia

Asijione yeye ni mjanja sana

Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.

Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
Kwani ule uwongo wa Makala alikamatwa na polis? Kilichofanywa na polis Ruvuma ni KOSA kubwa Sana kimkakati, Bora wangesubiri mkutano uishe
 
Nchi ilikuwa imeanza kunawiri kwa wapinzani kufanya mikutano yao, kamatakamata ya kipuuzi imeanza tena, hii ni hatari sana na si afya kwa taifa, ni aibu kwa mataifa yanayofuatilia siasa za nchi hii
Tatizo ccm wanazidiwa Sana hoja na lissu, wanashindwa kuzijibu...
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Wee Massawe gani mjinga hivi?!!!
 
Back
Top Bottom