Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Zoa matapishi yako uyapeleke Lumumba mkayale !! Nonsense.
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Ungesema aibu ungeeleweka vyema
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Sio mda Mungu nae tutampa Pongezi ,
 
Mtu ana tenda kosa Ruvuma ana pelekwa mahakama dsm kwani uko Ruvuma mahakama na Central hazipo hafi wa transifer case
 
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
Kwahiyo unataka aje na jeshi lake ndani ya nchi huru,Mimi nadhani apongezwe kwa kukamatwa kama kuku sababu kinyume chake ni damu mbichi,change a negative into positive
 
Maboya hao wanabweka tu

Kipigo cha Leo awatosahau

Tunawauliza tena je hao ndio wanasema watazuia uchaguzi?

Wao nani?
Uzuri ni kuwa hata wewe huna uhakika wa Lunchi Hyatt Regency hata Mimi Sina uhakika wa kulala Serena Hotel and ,you know why,we are poor at the end of the day,na adui yetu sio election adui yetu ni umaskini wa jana na leo,do you own a car that is electric drive (EVS),noo,why we are having poor technology.
Adui yetu ni poverty.
China hawezi kuwa na vita sababu watu wako well equiped na life standard ya kuuza bidhaa Dunia nzima,angalia mitumbwi pale karibu na white house na sio boat za kisasa,Hilo ndo tatizo.
Angalia viatu walivyovaa watanzania wa wa mtaani kwako,ni vya plastic low class,yaani viatu vya re cylining material Hilo ndo tatizo kuu,we are low class.
 
Back
Top Bottom