Naona hata wao wamejificha kwenye mashimoAcha moto MO29 asubuhi uliona watu?
Watz huwezi watabiri ndio maana huwezi fanya nao deal la maana
Hapo kila mtu anamlia mwenzie plan....kama mchezo hivi lakini ndo uhalisia....Naona hata wao wamejificha kwenye mashimo
Na mbungi litaendelea tena hapo kesho, hii hofu kwa watawala bado ni ushindi kwetu na inaongeza shinikizo katika muelekeo wa Tanzania mpyaDuuu tumewatishia amani wakubwa
Walimiminika baadaye, naamini watajitokezaAcha moto MO29 asubuhi uliona watu?
Watz huwezi watabiri ndio maana huwezi fanya nao deal la maana
Muda badoRaia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa.
Tupe update za ulipo.
Mungu alinde watu wake...AmenWalimiminika baadaye, naamini watajitokeza
Mo29 ilikuwa ni changanyikeni ila sio hii ambayo Kuna marufuku ya KUTOKA nje.ni ngumu kukutana
Wishful thinking!!!Walimiminika baadaye, naamini watajitokeza
Saa nne sheli ilichomwa ubungoNdo kwanza saa mbili asubuhi. Mida bado babu. Kumbuka mo29 ilikuwa by suprise na ilianza kimya kama hivi. Kulianza kufurumuka kuanzia saa saba kasoro.
Acha tunywe chai kwanza.
Noma sana sisi hatuna siraha lakini wao wanalindwa na maelfu ya wanajeshi na wanajificha siku tukipata siraha watakimbia mapemaHapo kila mtu anamlia mwenzie plan....kama mchezo hivi lakini ndo uhalisia....
Kamwe mimi simuamini mtanzania mwenzangu...hatutabiriki
Bado mapema ,Mo29 kilianza kunuka around saa nne na ilipofika saa saba ,wakaweka mpira kwapani.Muda bado