- Thread starter
- #41
Muda bado, acha paparaWote wapo online badala ya kuingia road
Muda bado, acha paparaWote wapo online badala ya kuingia road
*SilahaNoma sana sisi hatuna siraha lakini wao wanalindwa na maelfu ya wanajeshi na wanajificha siku tukipata siraha watakimbia mapema
Hapana,siyo hii,toka ukaonesheHii ndio amani serikali ilikuwa inazungumzia ?
Nenda Mogadishu halafu urudi ndiyo utapata jibuHii ndio amani serikali ilikuwa inazungumzia ?
Hakuna cha nyenyenye....wao si wanadai nchi ni yao? Mbona sasa hawatembei. Beach kwenda kula bata leo?Naona hata wao wamejificha kwenye mashimo
Jeshi ni chombo cha dolaUtadhani kuna operesheni ya kijeshi
Hii yote inathibitisha watawala hawawezi kukalia nafasi zao isipokuwa kwa msaada wa mitutu ya bunduki
Ingependeza kama kingekuwa chombo cha dola halali iliyowekwa madarakani na wananchi.Jeshi ni chombo cha dola
Wananchi siyo wapinzani tu,hata CCM ni wananchiIngependeza kama kingekuwa chombo cha dola halali iliyowekwa madarakani na wananchi.
Wananchi wenyewe wangapi? Hawa wankushawishiwa na MangeKimambi na Maria Sarungi?? Naturally Watanzania siyo watu wa vurugu, ni watiifu ila nyie wanaharakati ndiyo mnawapandikiza chuki kwa kuwa mnalipwa na NGOs za kutaka ku promote ushoga TanzaniaJukumu la kulinda amani ni la pande zote mbili serikali na wananchi, ila kama tutaona ni wananchi tu ndio wanawajibika kulinda amani basi hizi vurugu zinazotokea sasa hivi tafsiri yake ni wananchi kuchoka kubeba huo mzigo peke yao. Kwa miaka yote watanzania tumekuwa tukiambiana kuwa sisi ni waoga kiasi cha kushindwa kudai haki zetu za msingi, leo hii tumefikia hatua wananchi wanalalamikia mambo kama utekaji, kudai katiba mpya na uchaguzi huru inaonekana wao ndio hawataki amani wanataka kuvuruga amani.
Tuko nao online uku tunachat naoMuda bado, acha papara
leo maandamano ya amani, kama mlipanga kuwaua na kutibua leo genZ wamewaweza, yan wasitoke wakatoka kesho. Mwenyewe kama sitotoka leo, kesho lazima niandamane kwenda kazini, na nimaamdandamo yasio na kikomoSaa nne sheli ilichomwa ubungo
Mbona tuliambiwa Shughuli zitaendelea kama kawaida Lakini Kila Kona Kuna Road blocks?
hakuna kura milioni 31, ni magumashi yaleWananchi siyo wapinzani tu,hata CCM ni wananchi
Shauri yenuhakuna kura milioni 31, ni magumashi yale
Na hapo hatujashika hata toothpickHakuna cha nyenyenye....wao si wanadai nchi ni yao? Mbona sasa hawatembei. Beach kwenda kula bata leo?
Na hapo hatujashika hata toothpick