Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Kuna taarifa zinasambaa kwamba Masanja na mkewe watakamatw kwa ajili ya uchunguzi zaidi kuhusiana na kifo cha katibu wake wa kanisa

Inasemakana kwamba katibu uyo a kanisa la masanja wala hakujinyonga bali alinyongwa na kisha kuzusha kwamba amejinyonga

Nb tayari mwili wa Marehemu umeishazikwa, mwili huo umezikwa jana
 
Naoma taarifa za kujiuwa Katibu mkuu wa Mchungaji Masanja wa Free Church zilitolewa na mapaparazi tu

Je kuna taarifa zozote rasmi?
 
Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
 
Ujumbe wa marehemu umesahau kumtaja mke wa marehemu kabisa.

Marehemu alipaswa kuomba msamaha kwa mke wake

Marehemu hakupaswa jiua kisa kaachwa na mchepuko

Marehemu hakupaswa taja upendo wake kwa mchepuko wakati katoka OA hata mwaka haujaisha


Muuaji ni kama alitaka jambo liishie kwenye talaka

Muuaji alikua anajua kuhusu mahusiano ya marehemu na mchepuko

Muuaji hakuwa peke yake
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).
Screenshot_2022-10-04-13-42-23.png
 
Back
Top Bottom