Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi taarifa yenu inamuumbua zaidi Mchungaji.
Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
 
Hili jambo angalia mwenendo wa waathirika , utagundua kitu.. Masanja na mwenzi wake, hawaonyeshi kama wameumizwa na hili... Kwa twitter post zao.. Kama ni polisi ile ya mkoloni , hawa ndio wa kuanza nao.. Kuna uhai wa mtu umepotea.. Lakini jamii nyingi huwa zinamlinda mwenye nguvu na kinyonge kinaacha kijitetee chenyewe
 
Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda

Tukubali kuwa wamemuua. Ndii maana masanja alitimkia marekani kabla ya kifo cha katibu.
 
Back
Top Bottom