Hivi toka lini mtu akawa dikteta wakati anajua baada ya miaka kumi atarudi uraiani? Magufuli sheria mnalinda, nyie kama mna hoja mpingeni kwa hoja siyo kulalama kama watoto wadogo
Halafu, mtu kama unajiamini utendaji wako unapendwa ya nini yote haya?
Huu uzi sijui kama utadumu sana bila kupigwa pangaUzi huu unaweza kabisa kuwa muafaka kuhusu unyanyaswaji mkubwa unaofanywa na Polisi nchini katika kubaka demokrasi ili kutimiza lengo la Dikteta la Watanzania kuishi kwenye nchi iliyojaa vitisho vya hali ya juu. Kufungua uzi mwingine pia wa manyanyaso ya Polisi nchini RUKHSA.
Huu uzi sijui kama utadumu sana bila kupigwa panga
Ni hatari, nchi inaelekea kubaya
Mkuu naona umevimbiwa na kuchoshwa na amani tuliyo nayo,inakuwaje unaongea mambo ya simanzi namna hiyo?huo ndiyo uhuru kweli?unaichonganisha serikali na wananchi bila hata aibu?ukikamatwa na kushitakiwa utalalamika?ebu kuweni na utaifa kwanzaKamata piga risasi wachochezi wote Si MDA wa siasa Ni kazi tuu Na kujenga uchumi
Kama kweli hii serikali inafuatilia wanao taka kuhalibu amani ya siasa za nchi yetu basi wamkamate huyu mtuWe ni Mwehu
Wanakotaka twende kuna siku tutafika tu.
Najaribu kum cc nashindwa..
Mwanakijiji anayo conflict of interest kwenye utawala huu , baada ya muda kidogo mtafahamu .Mzee Mwanakijiji......anaamini udikteta wa Magufuli ndo kinachotakiwa Tanzania
Uhuru wa kuwasiliana na kuongea ni msingi wa demokrasia.Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote unayoyaona nchini mwetu uyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.
SyriaWapi huko mkuu..?