Polisi wamsaka ...

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,126
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro
 
MKUU ANGALIA WATAZINGIRA MAKAZI YAKO MUDA SI MREFU.
 
Uzi huu unaweza kabisa kuwa muafaka kuhusu unyanyaswaji mkubwa unaofanywa na Polisi nchini katika kubaka demokrasi ili kutimiza lengo la Dikteta la Watanzania kuishi kwenye nchi iliyojaa vitisho vya hali ya juu. Kufungua uzi mwingine pia wa manyanyaso ya Polisi nchini RUKHSA.

Matukio ya police dhidi ya Demokrasia katika utawala huu inabidi yaandaliwe Uzi maalumu na uwe unafanyiwa "update" kwa kadili yanavyozidi kujitokeza.
 
Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote tunayoyaona nchini mwetu tuyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.

Polisi wamsaka BAK
 
Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote unayoyaona nchini mwetu uyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.

Tuzo za Mo zitaendelea kukosa wakupewa kwa miaka mingi sana ijayo mkuu, utawala bora, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, uwajibikaji vinazidi kuwa bidhaa adimu sana kwenye hizi nchi zetu.
 
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro

Dictation
 
Back
Top Bottom