BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #161
Hilo la idara ya polisi ni nzuri sana Watanzania wengi hawawezi kukubaliana nawe hata siku moja.
Tatizo mnalaumu idara ya polisi bila kufahamu kuwa polisi wanafanya kazi yao ya kila siku nayo ni kutekeleza maagizo kutoka kwa watawala, nashauri tusiwalaumu polisi wetu bali lawama zote zipelekwe kwa wanaotoa hizi ORDERS. Idara yetu ya Polisi ni nzuri sana sema aina ya wanasiasa tulionao ndio wanawaingiza matatizoni.