Polisi wamsaka ...

Polisi wamsaka ...

Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro

POLISI WAKO BIZEEEEE
 
Nawashangaa wanaosema nchi inaelekea kubaya wakati tayari iko pabaya. Angalia michango bungeni, watu wanasifiana vitu visivyoeleweka, wafanyakazi na wakuu wanajitahidi kujionyesha na kumridhisha bosi kwamba wanawajibika kwa kufukuza watu, kutetea maslahi ya bosi, kuhakikisha hakosolewi, kujitahidi kufanya lolote atakalo hata kama hajasema. Kwa ufupi ni namna ya kuendelea kubaki kwenye kibarua, na wala sio kuwatumikia wanachi.

Hivi kweli kesi ya Lugumi au upotevu wa peza za mchakato wa katiba mpya ni vitu vya kunyamaziwa? Pesa za walipa kodi zimeliwa na hakuna kilichotokea, huwezi kuwashawishi watu kwamba unawajali wananchi wakati matendo yako yanaonyesha uhalisia tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote unayoyaona nchini mwetu uyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.
Uhuru wa kuwasiliana na kuongea ni msingi wa demokrasia. N
Hilo nalijua Mkuu, uzi huu hauna maisha marefu utapotezwa muda si mrefu ujao. JF ya siku hizi si JF ile ya zamani. Wakiufuta basi nitaamua kupumzika maana haina maana ya kuja hapa jamvini kujadili kuhusu mustakabali wa nchi yetu huku tukiwa hatuna uhuru wa kufanya hivyo.
Where we dare talk openly. Whatever happened only God knows. We dont even talk leave alone openly
 
Halafu, mtu kama unajiamini utendaji wako unapendwa ya nini yote haya?

Mkuu suala la kupendwa hilo tuliweke pembeni kwanza. Mtu akiingia madarakani kwa figisu figisu lazima ataendesha utawala wake kwa figisu figisu tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Kubaka demokrasi nchini, ila mafisadi wa Lugumi bilioni 37, MV Dar bilioni 8, Escrow bilioni 321, wakwapuzi wa UDA na wakwapuzi wa Pride, Wakwapuzi wa nyumba za Serikali, wahamiaji haramu, wezi, majangili wa Tembo etc, wapokea rushwa za mabilioni akina Tibaijuka na Chenge na wa mamilioni Ngeleja na kundi lake POLISI haina muda nao hawa!!!

Hao ni sehemu ya wateule, hawatakiwi kuguswa maana ni haki yao kuishi kama malaika.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro
Acha kutishia MTU mzima nyau hizo siasa maji taka
 
nchi ni salama kwako tu ukitaka kufanya chochote una aman hata kama ni biashara unafanya bila usalama au uhuru
 
....Kubaka demokrasi nchini, ila mafisadi wa Lugumi bilioni 37, MV Dar bilioni 8, Escrow bilioni 321, wakwapuzi wa UDA na wakwapuzi wa Pride, Wakwapuzi wa nyumba za Serikali, wahamiaji haramu, wezi, majangili wa Tembo etc, wapokea rushwa za mabilioni akina Tibaijuka na Chenge na wa mamilioni Ngeleja na kundi lake POLISI haina muda nao hawa!!!
Hata zile bilion 1.7 za ccm alizotafuna January peke yake polis hawathubutu kumuuliza pia mwakyembe kala pesa akanunua mabehewa Feki polis wanamwogopa Kama walivyokaa Kiimya juu ya JESIKA kuingia UDOM na Div 4 lakini wenye Div 3 wamefukuzwa na mabomu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro

Kwa miaka 50+ tunapambana na ujinga, umaskini, maradhi na hivi karibuni ufisadim jeshi la adui mwenye nguvu ambaye ameshatushinda na sasa tumejisalimisha kuwa watumwa wake. Tuwatumikie adui ujinga, umaskini, maradhi na ufisadi kwa utii na unyenyekevu kama atunataka kuendelea kuliona hili jua japo kwa sintofahamu. Wameshatushinda na sasa wanatumiliki. Sisi ni raslimali za hao adui. Ni ukweli mgumu, ukweli wenye maumivu na uchungu ambao si rahisi mtu kuukubali kwa angalau kujifariji. Waakti tuko chini ya kongwa hilo la utumwa, sasa limeingia hili. Tutaweza kutoka au ndio mwanzo wa mengine yote? Tutapigana vita tukiwa utumwani? Tutaweza kupigana vita hivi tukashinda wakati tuko umateka na adui mpya ni rafiki wa maadui waliotuteka?

Uwezekano wa kutoka upo au tuanza kuimba nyimbo za kuwajenga kisaikolojia watoto na vizazi vyetu kwamba ndiyo maisha yao, ni haki yao na vizazi vyao kuwa watumwa ili wawe watii kusudi waendelee kuishi? Nini hasa tunauwezo nacho?
 
9.jpg

Siku ambayo haitasahaulika kwa wapenda demokrasia nchini
Toka siku hiyo utawala unaozingatia haki na sheria ulizikwa rasmi nchini Tanzania.​
 
Nachowasikitikia hawa polisi wetu asilimia kubwa tunaishi nao mitaani kwetu, siku tutapochoka na upuuzi wao wasije kulaumu
 
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????

Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........

Kwa hisani ya Mtatiro
Polisi watakomesha VIBAKA wa aina yoyote watakaojaribu kupimana UBAVU na serikali halali iliyochaguliwa na wananchi... shabeshiii!
 
Back
Top Bottom