Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Ningekuwa polisi basi ningekuwa polisi wa ajabu sana!. Nisingetekeleza amri za kikatili kwa raia wasiokuwa na hatia, nisingefyatua bomu la machozi wala risasi ya aina yoyote ile. Kama ni kutajirika kwa ajili ya kazi hiyo basi huo utajiri unipishilie mbali sitaki kudhulumu maisha ya watu kwa namna yoyote ile
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
sio kweli, sasa kuumiza watu nako wanaaggizwa? kwamba mpige uvunje uti wa mgongo?
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
We ndiyo msemaji wa jeshi la polisi?
 
Ni wanafki
Kwanini ukubali kubeba dhambi za mauaji kisa kumridhisha binadamu mwenzako ambaye pia atakufa na wote mtaenda kujibu mbele za Mungu?
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Kwahiyo hawana hata common sense? Kwamba wakiambiwa wale uchafu watakula?
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Ambao hawapendi huwa wanaonekana kwa matendo yao , huwezi kuniambia hawapendi halafu wawapige watu huku wanafurahia polisi watanzania ni maharamia.
 
Amri kutoka juu
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Mbona wanaamrisha ''piga rungu la kichwa'' na wanatekeleza? Hivi ukiwa polisi amri za kijinga kama hizi huwezi kuzitekeleza kwa kutumia akili? Huwezi kukamata bila kuumiza?
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu

IMG_20250426_133842.jpg
 
Tumewalaumu, including me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
 
Ndivyo ilivyo, Polisi hawana kosa lolote mana wanatii amri za maboss zao.
Ila chadema hawataki kuelewa hilo wakati hata wao wakishika nchi nao watatoa amri kwa hao polisi mana watakuwa ni maboss wao
 
Wanaelewa ila atleast wawe na huruma hatakama unapokea maagizo. Imagine kumvunja mtu miguu au mikono au kuua kabisa
 
Back
Top Bottom