Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
Kwa hiyo wao hawana akili?
 
Polisi wanaruhusiwa kutii amri halali tu, si maagizo ya kufanya uovu.
Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali?

Kwa mfano ww n boss wangu na mm n polisi, umenambia hakuna mtu anatakiwa kuwepo mahakamani leo, hvy ukiwaona uwapige ili waondoke hapo, h n amri halali au sio halali?
 
Kila linalojiri lina baraka kutoka juu.

Ukimya wa wenye mamlaka ni ithibati kuwa haya yote ni maagizo yao.

Bi Mkubwa baada ya kuonja caviar, kujipulizia Le Monde Sur Mesure na kuvaa saa za Cartier ameamua kwa namna yeyote HANG'ATUKI.
 
Wanaelewa ila atleast wawe na huruma hatakama unapokea maagizo. Imagine kumvunja mtu miguu au mikono au kuua kabisa
labda tuwalaumu kwa hilo la kukosa hruma. kama umeshamkamata mtu. hakuna haja ya kuwavunja miguu, then police have to act according to the inner instinct of a human being!
 
Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........

Inapokuja suala sheria.mambo huwa tofauti.hao wanaowatuma huwa hawahusiki sana kwa sababu hakuna ushahidi wa hizo order.Mkumbuke Yule DC (nimemsahau jina kwa makusudi) wa alumeru alivyosotea kesi yake.pia akina Abdala zombe na Bageni.pia yule jamaa aliyemlipua mwangosi kwa bomu la machozi kule mafinga.

Wanaobakia na kuchukiwa na umma ni hao wanaotekeleza sheria dhalimu.Kwa sababu inabidi unapoamua kuua mtu kwaajili ya kumpezesha bosi ujue wewe binafsi uko responsible.jiangalie wewe binafsi jinsi jamii itakavyokuchulia.wewe binafsi na watoto wako na mke wako wote mko uraiani. Yaani maaskari wote mko uriani.kama kutatokea ile chuki dhidi ya polisi iliyotokea kule masasi sidhani kama kuna askari polisi atakuwa salama.

Mimi sikatai askari kutuliza fujo,ila siyo kwa kiasi cha kuvunja miguu au kutoa uhai
 
Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali
Kwa mfano ww n boss wangu na mm n polisi, umenambia hakuna mtu anatakiwa kuwepo mahakamani leo, hvy ukiwaona uwapige ili waondoke hapo, h n amri halali au sio halali?
Sio amri halali maana si kosa kisheria mwananchi kuhudhiria mahakamani. Ni suala la kuangalia sheria inasema nini, na sio boss wako anataka nini.
 
Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali?

Kwa mfano ww n boss wangu na mm n polisi, umenambia hakuna mtu anatakiwa kuwepo mahakamani leo, hvy ukiwaona uwapige ili waondoke hapo, h n amri halali au sio halali?
Kuwepo mahakamani kunavunja sheria gani? Ndio maana wamewatupa mabwepande maana wangewapeleka Central police pale kusingekua na kosa la kuwashtaki.

Wangeweza tu kuwakamata na kuwaachia baadae kama walivyofanya kwa heche bila kuwa na haja ya kupiga watu kama vibaka.
 
Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........

UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
Popote ambako wapinzani wanakamatwa wanaotoa amri ni moja kati ya hawa wanne
Aigiipii
Rpc
Rc
Dc
Hao ndiyo watoa amri
 
Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........

UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
Mr tabasamu
 
Ndivyo ilivyo, Polisi hawana kosa lolote mana wanatii amri za maboss zao.
Ila chadema hawataki kuelewa hilo wakati hata wao wakishika nchi nao watatoa amri kwa hao polisi mana watakuwa ni maboss wao
Acha ujinga wewe. Siyo kila amri inayotolewa ni Halali!! Unatakiwa: TO OBAY LAW AND ORDER. Kutii AMRI na TARATIBU. Siyo kutii kila amri hata za kidikteta zinazoenda kinyume na KATIBA, SHERIA na KANUNI za JMT!!
 
Yule Mama wa Bangladesh nayeye alikuwa akitumia Mapolisi hivi hivi lakini kadri muda ulipokuwa ukienda Mapolisi wakawa wanapuuza Amri zake.

Polisi wakaanza kuelewa kuwa wanatumiwa kisiasa.
 
Ndivyo ilivyo, Polisi hawana kosa lolote mana wanatii amri za maboss zao.
Ila chadema hawataki kuelewa hilo wakati hata wao wakishika nchi nao watatoa amri kwa hao polisi mana watakuwa ni maboss wao
Chadema wakishika nchi hawatowatumia police Wala wanajeshi.
 
Back
Top Bottom