Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Kunae class mate wa primary, sahivi ni askari polisi, huwa tukipiga story, anasema wazi kabisa, kuna order zingine wanapewa huku mioyo yao inajaa uoga na huruma, ila hawana jinsi, ni lazima Kutii.

Kuna scenario alinisimulia, na anakiri wazi, bado inamtafuna ndani kwa ndani. Kila akikumbuka amani nafsini mwake hutoweka.

Niliishia kuduwaa, nweii watavuna wanachopanda, Karma is Real.
 
Jeshini ni Amri
Wao wanafata amri
Amri ziwe halali. Ukiambiwa piga mtu hiyo sio amri halali. Kama kuna mtu au watu wanaovunja sheria, utaratibu ni kuelezwa kosa lao na kuwakamata na kuwapeleka mahakamani.

kupiga na kwenda kuwatelekeza misituni ni amri haramu!
 
Kuwepo mahakamani kunavunja sheria gani? Ndio maana wamewatupa mabwepande maana wangewapeleka Central police pale kusingekua na kosa la kuwashtaki.

Wangeweza tu kuwakamata na kuwaachia baadae kama walivyofanya kwa heche bila kuwa na haja ya kupiga watu kama vibaka.
Ishu sio upo mahakamani, ishu n upo kwa lengo gani.
 
labda tuwalaumu kwa hilo la kukosa hruma. kama umeshamkamata mtu. hakuna haja ya kuwavunja miguu, then police have to act according to the inner instinct of a human being!
Absolutely; Haki za binadamu na utu vinapaswa kupewa kipaumbele hata katika utekelezaji wa sheria. Hakuna sababu ya kuendelea kumuumiza baada ya kumkamata au kuzuia uhalifu badala yake sheria itumike.
 
Ukivunja wapinzani miguu huko polisi unapata hela nyingi. Na ukiua mpinzani unapanda cheo.
Hii ni kauli nzito sana inayogusa haki za binadamu na maadili ya utawala wa sheria.
Unachosema kinaonesha lawama nzito dhidi ya mfumo wa polisi, ukielezea kuwa baadhi ya askari wanapata faida binafsi kama hela au vyeo kwa kutumia ukatili dhidi ya wapinzani au watu wanaokamatwa.
Kwa lugha nyingine, unakosoa tabia ya kugeuza mateso kuwa njia ya kupanda vyeo au kupata maslahi.

Vitendo hivi havina nafasi katika jamii inayoheshimu misingi ya haki, utu wa binadamu, na utawala wa sheria. Askari wa usalama wanapaswa kuongozwa na dhamira ya kulinda maisha na hadhi ya kila mtu, si kugeuza mamlaka waliyopewa kuwa chombo cha mateso na kujinufaisha binafsi.

Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kusafisha taasisi za ulinzi, kuhakikisha uwajibikaji kwa wote wanaokiuka haki za binadamu, na kuweka mifumo imara ya kudhibiti na kuzuia vitendo vya ukatili.
Ni kwa njia hii pekee tunaweza kujenga taifa linalosimama kwenye misingi ya haki, utu, na usawa kwa wote.
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Kiwake, kakiwashe chumbani kwako.
 
Kiwake, kakiwashe nyumbani kwako.
 
Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Never forever, polisi ni adui wa kwanza wa haki, hawa watu wamelaaniwa kabla hata dunia haikuumbwa.
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Sasa itakuwaje
 
Back
Top Bottom