Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Polisi hawapendi wanachofanya, tunawalaumu bure

Popote ambako wapinzani wanakamatwa wanaotoa amri ni moja kati ya hawa wanne
Aigiipii
Rpc
Rc
Dc
Hao ndiyo watoa amri
Chains of Command ziko hv:
Commander in Chief( Rais)》》》》IGP》》》RPC》》》na ma RC》》》DC( Hawa ndo Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa au Wilaya).
 
Kwa hiyo wao hawana akili?
Wana akili sana, akikataa may be anapelekwa court marshal and can face a firing squard. Ni Ngumu kuwalaumu moja kwa moja. ILA tuwalaumu kwa nini wanawavunja miguuu na mateso mengine wanaowakamata?
 
Kwa hiyo mama hahusiki, hana baya?
anahusika sana, tena sana. Durtete alikuwa hashiki bunduki kuwaua aliokuwa anasema wanauza madawa ya kulevya. Lakini ndiye aliyeko ICC!
 
Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........

UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
CCM wanawalipa IGP na CDF Pesa nyingi sana ambazo huwezi kuamini. Hizo ni mbali na mishahara.
Na ma RPC wote, lakini huku chini kuanzia OCD Kwenda Chini hawapati kitu.

CCM plani yao ni long term, ndiyo maana hata elimu hawa tilii mkazo.
 
Yule Mama wa Bangladesh nayeye alikuwa akitumia Mapolisi hivi hivi lakini kadri muda ulipokuwa ukienda Mapolisi wakawa wanapuuza Amri zake.

Polisi wakaanza kuelewa kuwa wanatumiwa kisiasa.
View attachment 3318661
Hapa napo ukikaa nao uwaulize wanakubali, lakini hawana option kwa sababu maisha magumu, na elimu zao hazifai, huko ndiyo walikojaa vyeti feki, hadi cha darasa la saba feki
 
CCM wanawalipa IGP na CDF Pesa nyingi sana ambazo huwezi kuamini. Hizo ni mbali na mishahara.
Na ma RPC wote, lakini huku chini kuanzia OCD Kwenda Chini hawapati kitu.

CCM plani yao ni long term, ndiyo maana hata elimu hawa tilii mkazo.
Tangu enzi za Mwalimu JKN, sifa ya kujiunga na Jeshi la Polisi ni DIVISION ZERO(0) yaani Form IV FAILURE.
SIFA KUU NI UWE KATILI NA UNAYEWEZA KUTII AMRI YOYOTE TOKA JUU.
 
Hapa napo ukikaa nao uwaulize wanakubali, lakini hawana option kwa sababu maisha magumu, na elimu zao hazifai, huko ndiyo walikojaa vyeti feki, hadi cha darasa la saba feki
Baada ya yule Mama wa Bangladesh kutimuliwa Mapolisi walipata heshima kubwa sana.
 
Chains of Command ziko hv:
Commander in Chief( Rais)》》》》IGP》》》RPC》》》na ma RC》》》DC( Hawa ndo Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa au Wilaya).
Kwahyo kumbe ma DC wanakuwa wanajua kinachoendelea
 
Mnatuumiza alafu mnafanya danganya toto.
Kama ulimdikia mkuu wa kambi ya kihangaiko ungenyamaza jeshi ni amri anasema mpo kwenye misheni askari mdogo anataka kumpiga adui ambae wako kwenye battle inatoka amri usimpige adui na ww unatakiwa utulie hv hv anasema jeshi si lolote bali ni nidham na amri
 
Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa

Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao

Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri

Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa

Polisi wanawapenda Watanganyika

Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Waambie ni wajinga na wapumbavu Ipo siku wataambiwa wale mavi yao na watatii amri sio?
 
Kwa chuki iliyojemgeka juu ya hao vilaza , watu wataanza kutarget familia zao maana ndio kitu pekee kitawauma kabla ya kuwafikia wao.

Pia kuhusu uwepo wa chuki angalia post za misiba ya polisi utajua.
 
Back
Top Bottom