Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

Taifa limefika pabaya sana..
Kilichobaki ni nature kutake its course...
I tell u.
Either CCM ing'atuke au pachafuke milele.
Tizameni comments za Wtanzanzania kwa msiba huko ZNZ....
NI HATARI MNOO...
 
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.

Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
Halafu unakuta hii comment imeandikwa na mwanaume wa Dar. Wale ambao panya road walivyoibuka hawakupiga simu Mloganzila waje wawasaidie bali walikuwa wanahitaji msaada kutoka kwa hao wenye 'divisheni foo'.
Nachoka mimi Baba yenu Ministrant
 
Polisi walikimbia sana walipovamia Panya Road. Kituo cha Polisi Ilala Polisi walijifungia ndani huku wakitetemeka
 
Dastardly hakupigwa na Polisi, yeye ndiye aliyempiga Polisi. Dastardly alipigwa na Raia wema, kikawaida wangemuua lakini.....akaokolewa na Polisi ndiyo akapelekwa hospitali. Kwa nini kitu raising kama hiki hukioni,
 
Hamna raia anayeweza kumshambulia raia mwenzake anayempiga polisi
 
Back
Top Bottom