Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.

Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000

Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
 
Hili ndio neno.kunawakati mizani ni muhimu na si kila mara tuwalaum wao tu.
 
Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
Tangu lini trafiki wakafuata sheria na taratibu? Wao wanachojua ni kutoa ufunguo wa gari na kuondoka ili umfuate muongee kuhusu chochote kitu.

Huo ndiyo weledi wa kazi zao? Hakuna wanachofanya barabarani zaidi ya kupiga gari mkono halafu wanasubiri uwaungie buku mbili usepe.
 
Mzee hiyo vita ipo chini chini sana ukiona mpaka watu wanaamua kupigana bara barani jua kuna makwazo ya muda mrefu sana.
Nilikuwa Mbeya juzi kati, niliona polisi kaviziwa, kapigwa jiwe anachuruzika damu, aliyempiga naye kakimbia, watu badala ya kumsaidia polisi wanafurahia huku jamaa yuko chini anavuja tu damu.

Polisi walichokitengeneza mwezi wa 10 mwaka jana kitadumu kwa muda mrefu kwenye fahamu za wananchi
 
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.

Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
Mtu yoyote yule hapaswi kufanyiwa ukatili, haijalishi ni daktari bingwa au form four failure. Ni kosa kumpiga mtu hadi analazwa ICU

Mentality za kibaguzi kama hizi ndio huwa zinazalisha madikteta na mafisadi kama hao tulio nao sasahivi, kwa sababu kama tukio kama hili tu kitu cha kwanza kuja kwenye akili yako ni classes badala ya kosa, imagine siku ukipewa uongoze nchi.
 
Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
Smart words
 
Back
Top Bottom