Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
Upo sawa, kila kada ina umuhimu, daktari anafika kwenye shughuli zake sababu kuna wengine wanafanya shughuli zao. Suala la grades haliapply hapa. Na kwenye uvunjaji wa sheria pia inaenda hivyo hivyo, polisi hawapaswi kuwa na hidden immune ya kutoa adhabu kinyume cha sheria.
 
Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
Point
 
Nilikuwa Mbeya juzi kati, niliona polisi kaviziwa, kapigwa jiwe anachuruzika damu, aliyempiga naye kakimbia, watu badala ya kumsaidia polisi wanafurahia huku jamaa yuko chini anavuja tu damu.

Polisi walichokitengeneza mwezi wa 10 mwaka jana kitadumu kwa muda mrefu kwenye fahamu za wananchi
Mbaya zaidi polisi hawana kipato na wapo mtaani nilimkuta mmoja yupo na mtoto wanatembea kwa mguu mvua inanyesha bara bara moja huko nikambeba baadae alishukuru na kushangaa sana kwa jinsi jamii inavyowachukulia sasa fikiria yupo na mtoto mdogo watu wanampita kama Simba vile wakati angekua hana nguo za kazi angepata msaada mapema mno..
 
Binadamu wote ni Sawa Mkuu, regardless their academic matters

Hii sio banana Republic aliyepiga Polisi ana makosa na waliompiga Dr pia wanamakosa

Let the law take it's course
 
Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four

Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa

Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa

Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.

Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .

Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.

So tumia akili kufikiri
Ulipokua unasoma iyo elimu Yako mwalimu wako alikuambia ni chombo gani kina mamlaka ya kutoa adhabu hapa Tanzania??
 
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.

Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
asie tii sheria bila shuruti, kaidi, jeuri na mwenye kiburi katika kutii sheria za nchi ni wazi huyo ni muhalifu anaestahili kua neutralized na kisha kufikishwa mahakamani kulingana na makosa yake 🐒
 
PoliceCCM
Niliposoma Taarifa ya Muliro eti Daktari kapigwa na wananchi Wenye hasira nilihitimisha kwa dhana halisi ya matumizi madogo ya akili Kwa Polisi. Ni raia gani alimpiga Daktari? Kwamba nchi hii raia wanawachukia madaftari na kuwapenda Polisi kiasi wakikuta wanapigana wanakuwa upande wa Polisi? Wamempiga Daktari na kesi wanabambikiwa raia.
 
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.

Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
Wanaendelea kufanya makosa yaleyale kila siku sasa wakiugua atawatibia nani madaktari walivyo na umoja wakikubaliana waanyooshe kuna usalama tena hapo.
 
Mbona dr kasambara Rip alikuwa anapita bila kujali taa nyekundu walikuwa hawafanyi

kitu.Nadhani walikuwa wanamfahamu kuwa ni mtu wa majukumu
 
Back
Top Bottom