Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Mtu unazurura tù huko ulaya kusherekea maendeleo ya wazungu halafu mtanzania unaumiza kichwa baada ya kuwaza maisha yako unamuwazia anae kenua meno kwenye SGR za ulaya na kuponda SGR ya nyumani kwake,anasifia ulaya umeme ni bei nafuu wakati huo huo anaponda bwawa la Mwalimu Nyerere wakati linaenda kupunguza gharama za umeme,waafrika tuna safari ndefu sana baada ya kuhimizana kuleta maendeleo hapa kwetu mtu anakimbia ulaya ambako wenzake waliumia kwa miaka mingi sasa wanakula matunda na mmatumbi nae anataka akajibanze ale jasho la wenzake akiambiwa ukweli mnasema wazungu ni wabaguzi kwa waafrika.
 
Back
Top Bottom