Police kauwawa vurugu za Arusha

Polisi wa tanzania kama mnanisikia sikieni kama mmeziba masikio zibeni,ila nawaambia utawala wa CCM umefika mwisho badilikeni msifanye kazi kwa mazoea RAIS WA NCHI HII NI SLAA SASA SIJUI ANDENGENYE UTAKIMBILIA WAPI,MWEMA JILIPUE TU KWANI TUTAKUFANYA KAMA SAMWELI DOO
 
Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.

Ahsante Mkuu kwa good elaboration. Kweli tuendako sasa hivi TZ kunatisha na sidhani kama police wa Arusha watakaa kwa amani kwani kwa ninavyowajua wachaga watamfanyia mmoja baada ya mwingine
 
Kwa mbali, si mbali sana, naziona siku ambazo raia watafanya maandamano wakiwa na visu, bastola na silaha nyingine nyepesi mifukoni ili kulipiza kisasi kama si kuwadhibiti police
juzi kulikuwana maji na mawe safari inayofata ni petrol na...acha waendelee na ubabe wao, dawa ya mbausa ni viwembe au bisi bisi nyangau....
 
Hizi Video na PICHA zote zitunzwe na kuandikwa ripoti nzuri kwenda kwenye ICC Hague.

Lazima Ocampo aje Tanzania ajionee Unyama huu. Lazima watu waje walipe kwa unyama wao.
 
vikosi vya kutuliza ghasia vinatumia nguvu kubwa sana kuthibiti maandamano bila kujua kuwa kufanya hivi kunamjengea ujasiri raia hata siku itakuwa kama gaza.
 
Hawa hawana sifa ya kuitwa Polisi hata kidogo, hawawezi kumshambulia raia asiye na silaha hata fimbo tuu namna hiyo. Hii ni kuwa aitha hawajui wajibu wao,au ni askari katili kuzidi wale makaburu wa enzi zile.
Wakati wa siasa za kikaburu enzi zile tulipiga kelele sana sisi na dunia nzima tulipoona picha za namna hii na tulikuwa tayari kugharamia mapambano na makaburu. Leo ndugu zetu kabisa kabisa hapo Arusha,tunawajua hata kwa majina,nyumba wanazoishi nk, lakini tuko kimya au hatujali kwa kiwango cha juu kama tulivyo kuwa tunaonyesha wakati ule. Tuwaunge mkono katika mateso waliyopata dhidi ya uzalimu huu na hao Polisi si wanafahamika? wachukuliwe hatua
 
kwa mbali, si mbali sana, naziona siku ambazo raia watafanya maandamano wakiwa na visu, bastola na silaha nyingine nyepesi mifukoni ili kulipiza kisasi kama si kuwadhibiti police

ndipo watapata adabu ya kweli mashetani hawa polisi weusi kama kunguru shame on you igp katili sana
 
police_brutality_1.jpg



Maandamano sio mazuri jujifunze
 
Tatizo mnaongea sana, chukueni hatua basi mpunguze manano.
 
Hizi picha zikusanywe zirushwe kwenye kipindi maalum, na kwenye tovuti ya kupigania uhuru. There is no any justification whatsoever, to treat a fellow being as such. It is inhuman act
 
Polisi wa tanzania kama mnanisikia sikieni kama mmeziba masikio zibeni,ila nawaambia utawala wa CCM umefika mwisho badilikeni msifanye kazi kwa mazoea RAIS WA NCHI HII NI SLAA SASA SIJUI ANDENGENYE UTAKIMBILIA WAPI,MWEMA JILIPUE TU KWANI TUTAKUFANYA KAMA SAMWELI DOO
Haya ndiyo yaliyo mkuta MBABE huyu,Samweli Doe baada ya kuondolewa madarakani kwa nguvu. Vitendo vyake vya kinyama dhidi ya binadamu ndivyo vilivyopelekea badala ya kuondoka kwa heshima madarakani aliondolewa namna hii.Jee nasi ndivyo watakavyo wa kwetu? kama wao wanataka hivyo sisi hatutaki,tunataka waondoke vizuri na tuwalipe pension kwa utumishi uliotukuka. Hiyo ndiyo style ya TZ.
 

Attachments

  • Samuel-Doe.jpg
    Samuel-Doe.jpg
    8.7 KB · Views: 102
Polisi wetu hawana elimu, wanaishi maisha ya kimaskini pengine kuliko kada zote tazama mazingira wanayoishi, ila kwa upumbavu wao wanamlinda mtu anayewanyonya (JK, RA, EL na wezi wote wa CCM), kukosa akili ni utumwa ndio hao maafande wapuuzi. Hivi wewe Mwema utaficha wapi sura ya 2015 tukichukua nci, wewe JK? na vibaraka wako? Ole wenu ziku zinakuja tena ziko karibu. ALUTA KONTINUA!
 
Nakuaminia mzee wa Rula!
Sasa na ndugu wa huyo polisi watakuwa wamekatazwa kwamba wasitamke kuwa wamefiwa na mtu wao?...
Hii intelijensia ya kibongo ya jeshi letu hii inachekesha!
Habari hiyo siyo siri hapa Arusha lakini chombo gani cha habari kimfunge paka kengele? Kama una rafiki yako yoyote polisi muulize atakwambia. Kesho mkuu ndani ya Soweto Inshaaalah.
 
Habari hiyo siyo siri hapa Arusha lakini chombo gani cha habari kimfunge paka kengele? Kama una rafiki yako yoyote polisi muulize atakwambia. Kesho mkuu ndani ya Soweto Inshaaalah.
Si mnakaa nao huko uraiani? Si manakunywa pamoja wanzoki huko vilabuni? ni nafasi yenu ya kuwaonyesha ubabe sasa, washughulikieni!
 
Heri kumjua Yesu Bwana, hunipa furaha ya Mbingu mrithi wa wokovu wake .
Habari njema raha yangu, Yesu ndiye Mwokozi wangu
Poor thing so sorry kwa familia ya huyo polisi kama halikuwa hajamjua Bwana Yesu Kristo kuwa mokozi wake atakuwa yupo depth of hell pamoja na shetani.
 
Hivi hapa hesabu ni moja kwa kumi? mkiandamana na dar mje na vimada wenu pia.
 
Mkuu,

Naona kweli wewe unawafahamu Wachaga vizuri. Huwa hawatumii sana maguvu ila akili zaidi.

Wanafahamu wakienda Mahakamani, hakuna kitu kitafanyika. KISASI NI LAZIMA kwa hawa watu.

Nawahurumia waliosababisha haya Machafuko. Nawahurumia POLISI huko Mitaani.

Wachaga ni UMAFIA fulani hivi ukijifanya wewe zaidi. Masaai yeye haogopi kufa.

Lowassa alijua hili akawaonya ila wao wakamuona ZOBA.
Ahsante Mkuu kwa good elaboration. Kweli tuendako sasa hivi TZ kunatisha na sidhani kama police wa Arusha watakaa kwa amani kwani kwa ninavyowajua wachaga watamfanyia mmoja baada ya mwingine
 
Back
Top Bottom