Police kauwawa vurugu za Arusha

Police kauwawa vurugu za Arusha

Mimi nilwaambia mnajifanya mna nguvu ya umma iko wapi sasa.Niliwaambia polisi tangia wafanye mafunzo yao hawajafanya practical,sasa chance kama hiyo ikipatikan kwao ni furaha.Siku nyingine naona mkiambiwa hakuna kuandaman mtaufyata.Sisi wengine tunaendelea na kazi zetu hatuna shaka tuna jeshi imara la kupamabana na maaduai wa ndani na nje
tulikuwa na maji na mawe lakini kwa taarifa ya uvunguni polisi mmoja chali na pp wawili siku nyingine tutakuwa na zana za maana halafu utaona matokeo....
 
wewe leo unanifurahisha kidogo, unakuja na solution badala ya kulalamika tu, kama mnataka kujitambulisha kama wapambanaji pambaneni badala kuja kulialia hapa kama watoto. Siku mkijipanga tena muwatafute vijana wa mwema crashwire labda mtaweza kupunguza machungu kidogo.
 
umefika wakati wa wananchi kurejesha mapigo

na hawa lazima shubiri wailambe, kama inawezekana tungewaua alau askari kumi hivi kisiri siri huenda serikali itajifunza
 
unafikilia mimi nilikuwa kwenye kiboard tu hata kwenye maandamano nilikuwepo..hata kesho yakiitishwa nitaenda na kwasasa na jipanga kujilinda zaidi kwani vipi?
 
wewe leo unanifurahisha kidogo, unakuja na solution badala ya kulalamika tu, kama mnataka kujitambulisha kama wapambanaji pambaneni badala kuja kulialia hapa kama watoto. Siku mkijipanga tena muwatafute vijana wa mwema crashwire labda mtaweza kupunguza machungu kidogo.
.......
 
kwa kweli hawa jamani tule nao sahani moja, hawa kabisa si kuwaacha tena tuwakili hii mikubwa ili ijue kuwa wakileta za kuleta wananchi wako ngangari
 
umefika wakati wa wananchi kurejesha mapigo

na hawa lazima shubiri wailambe, kama inawezekana tungewaua alau askari kumi hivi kisiri siri huenda serikali itajifunza
kwakweli sijui Tz inaelekea wapi?
 
Raia na polisi wote ni binadamu ambao wanatakiwa kuishi kwa maelewano na wakitofautishwa na majukumu yao.
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine. Ni mawazo ya kipuuzi kushabikia mauaji.
Binadamu yeyote anaweza kuua mwingine awe raia au polisi kinachotegemewa hapo ni timing tu kulingana na ubora wa zana anayotumia.
Polisi wana ndugu zao ambao ni raia na vivyo hivyo raia wana ndugu zao ambao ni polisi. Tukiendeleza mawazo ya kujenga chuki kati ya raia na polisi kwa kushabikia mauaji ya kijinga hakuna atakayekuwa na uhakika wa usalama.
Uovu ukifanywa na yeyote kati ya police au raia ni uovu tu na unastahili kupingwa kwa nguvu zote.
 
Nadhani kwa sasa jambo lililo muhimu ni kupata katiba mpya. Baada ya kupata katiba mpya, na tukapata serikali inayoongozwa na watu wenye akili, upeo na dhamira, itabidi kuunda upya jeshi la polisi. Maana hawa tulio nao wengi wao ni genge la wahuni, hawawezi kutufikisha tunakotaka. Hawa ni wahuni ambao wanatumia nafasi ya nguo za polisi kutekeleza maovu yao. Angalia mauaji ya wafanyabiashara wa Morogoro, wadereva taxi kule Arusha na Dar, Imran Kombe, kule Zanzibar, Mwembechai, n.k. Hawa ni wachache tuliowahi kuwajua kutokana na mazingira waliyouwawa. Je kuna wangapi ambao, kwa sababu mbalimbali hatuwezi kujua na hivyo tumekuwa tukiamini habari wanazozitoa polisi wenyewe? Makamanda wengine wa polisi, wananchi wanajua kuwa kuna wakati wamewahi kuwa na vikosi vyao vya ujambazi. Ukiwa na pesa, mtu wa kwanza kumwogopa ni polisi kabla ya jambazi anayefahamika ni jambazi. Sasa hili ni jeshi gani?
 
wewe leo unanifurahisha kidogo, unakuja na solution badala ya kulalamika tu, kama mnataka kujitambulisha kama wapambanaji pambaneni badala kuja kulialia hapa kama watoto. Siku mkijipanga tena muwatafute vijana wa mwema crashwire labda mtaweza kupunguza machungu kidogo.

Nikikushika nakufira, mbele ya watu, kima hunijui, mm Mwiraqw wa Arusha, i will **** u, unatuvali hereni za kishoga hapa, bwabwa mkubwa ww, nitakufira vibaya ww, ww ni ****** kwasbb mama yako amekuzaa kwa
kupitia mlango wa nyuma, shiiiiit....!!!!!!!
 
Mimi nilwaambia mnajifanya mna nguvu ya umma iko wapi sasa.Niliwaambia polisi tangia wafanye mafunzo yao hawajafanya practical,sasa chance kama hiyo ikipatikan kwao ni furaha.Siku nyingine naona mkiambiwa hakuna kuandaman mtaufyata.Sisi wengine tunaendelea na kazi zetu hatuna shaka tuna jeshi imara la kupamabana na maaduai wa ndani na nje
Wewe bure kabisa, kulingana na kauli ya Nahodha nguvu ya umma imeshinda maana ka surrender na kukubali kukaa pamoja na kuzungumza jambo ambalo walilikataa mwanzoni ( wakiongozwa na Babu J. wa CCM) hata EL alipoona ngoma hiyo nzito ushauri wake mliuponda.
La muhimu kama walivyosema wachangiaji awali, Andengenye ahamishie askari wake wote kambini kwenye vile vibox wakaishi huko na awafungulie maduka na kanteen za kutosha maana huko mjini sio salama sana kwao. Tabia za watu wa Arusha katika kuonewa hazitabiriki. Ni ushauri tuu
 
wito lazima tuwafanye jambo hawa washenzi

na dawa ni kuwaua hata kuwatangaza deal, kwa nn maalbino waltangazwa deal wakauwawa wakati hawa ni deal zaidi kuliko hatamaalbino tuwageuzeni deal kichwa cha polisi tununueni hata milioni
 
Raia na polisi wote ni binadamu ambao wanatakiwa kuishi kwa maelewano na wakitofautishwa na majukumu yao.
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine. Ni mawazo ya kipuuzi kushabikia mauaji.
Binadamu yeyote anaweza kuua mwingine awe raia au polisi kinachotegemewa hapo ni timing tu kulingana na ubora wa zana anayotumia.
Polisi wana ndugu zao ambao ni raia na vivyo hivyo raia wana ndugu zao ambao ni polisi. Tukiendeleza mawazo ya kujenga chuki kati ya raia na polisi kwa kushabikia mauaji ya kijinga hakuna atakayekuwa na uhakika wa usalama.
Uovu ukifanywa na yeyote kati ya police au raia ni uovu tu na unastahili kupingwa kwa nguvu zote.

hapana hawa wamezidi, bila ya kupewa descipline huu uonevu wao wataendeleza, ili heshima irudi tuwachinje kama kuku

iweje pemba waliweza kuwafanya waishi kwa ghofu huku tushindwe?

pemba hawa wapuuzi walikuwa wakivaa sare zao kituoni na wakitoka huzivua huko huko, walijua kuwa kweli wananchi wamekerwa na ujinga wao na sasa wanaishi kwa kuheshimiana. kwa hio wito na ss tusiwape raha
 
Hata mimi nimesikia polisi kauawa,wanasema kwamba polisi walimpiga risasi raia halafu kuondoa ushahidi wakashuka kwenye gari kuichukua maiti haraka,raia wenye hasira kali wakamuwahi askari na kumchoma kisu cha shingo.Tena kuna askari mwingine nimesikia tetesi kapigwa mawe mpaka kufa.so askari inasemekana wamekufa wawili
 
Raia na polisi wote ni binadamu ambao wanatakiwa kuishi kwa maelewano na wakitofautishwa na majukumu yao.
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine. Ni mawazo ya kipuuzi kushabikia mauaji.
Binadamu yeyote anaweza kuua mwingine awe raia au polisi kinachotegemewa hapo ni timing tu kulingana na ubora wa zana anayotumia.
Polisi wana ndugu zao ambao ni raia na vivyo hivyo raia wana ndugu zao ambao ni polisi. Tukiendeleza mawazo ya kujenga chuki kati ya raia na polisi kwa kushabikia mauaji ya kijinga hakuna atakayekuwa na uhakika wa usalama.
Uovu ukifanywa na yeyote kati ya police au raia ni uovu tu na unastahili kupingwa kwa nguvu zote.

Nakubaliana. Wanaofaa kulaaniwa ni wakuu wa jeshi waliotoa hizo amri. Mauaji yaliyotokea Arusha ... ni IGP Mwema na RPC Ande.... ndio walioua.
 
Wote waliokufa na kujeruhiwa ni Watz wenzangu na vifo vyao havikuwa na ulazima wowote. Si jambo la kushabikia kwa namna yoyote ile na kwamba michango yao ilikuwa inahitajika.
 
Hakuna sehemu ambayo polisi wanaweza kuuliwa kama kuku wenye kideri panapozuka patashika za kisiasa kama Pemba,kisiwa cha marashi ya karafuu ,huko ndiko WaTz hao walipoweka na kuandika historia,iliyolifanya jeshi la polisi lisituke na kupeleka mahelkopta kwa wingi baada ya makao makuu ya polisi kupokea call kuwa jeshi limezidiwa na wanakatwa vichwa ,tukio ambalo polisi hawatalisahau maishani mwao ,huo ulikuwa mwanzo mzuri wa kukomaa na polisi.
 
Back
Top Bottom