Police kauwawa vurugu za Arusha

Police kauwawa vurugu za Arusha

coby

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2008
Posts
342
Reaction score
39
WanaJF nimeongea na mdau mmoja wa Arusha anasema katika zile vurugu za Arusha kuna jamaa alimchoma visu police officer na kumuua lakini police Arusha wanafanya kila wawezalo kufunika hiyo ishu. Pia gari la maji ya kuwasha lilivunjwa vioo. Mwenye data zinazofanana na hizi atujuze tafadhari
 
Hawa Polisi si wanafahamika hawa maana sura zao tayari tumeziona. Kwani kuna haja ya kuhitajika ushahidi mwingine hapa. polisi wana roho mbaya sana hawa kweli unamsugulia binadamu mwenzio bunduki hivyo? Hapa alikuwa anasubiri tu aambiwe fyatua risasi
 
Mh!kama ni kweli,basi tunamuombea kwa mungu ampumzishe kwa amani!!
 
Hapa ni zanzibar nadhani kipindi kile...
Ila hata mimi nimepata taarifa za kuuwawa polisi, japokuwa wanasema kuwa hiyo haiwezi kuwekwa wazi..ni siri ya kiintelijensia ya JESHI LA POLISI
 
Eti nchi ya amani hiyo. Eti ndicho wanaita amani. teh teh teh teh teh teh teh teh! ama kweli nchi imeingiliwa na midudu!
 
Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.
 
Naona wamekukaba kweli, siku nyingine hautorudia

Naona unajisikia raha sana kuona raia asiyekuwa na hatia akiteswa kwa sababu za kisiasa!kweli wewe ni shetani halisi!!
 
Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.

watatumia njia zote kufichaficha!!! ngoja tubadilishe katiba,,,,hakuna cha mkwere wala IGP siMwema,,,,wote mbaroni!!!!
 
Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.
Nakuaminia mzee wa Rula!
Sasa na ndugu wa huyo polisi watakuwa wamekatazwa kwamba wasitamke kuwa wamefiwa na mtu wao?...
Hii intelijensia ya kibongo ya jeshi letu hii inachekesha!
 
Eti nchi ya amani hiyo. Eti ndicho wanaita amani. teh teh teh teh teh teh teh teh! ama kweli nchi imeingiliwa na midudu!

....sasa hivi wanavunga kufumbia macho mambo machafu wanayoyafanya,,,,,mie nalia na katiba tu,,,,ili akitoka tu tunamtia mbaroni!!!!
 
sidhani kama kweli hawa police ni wa tz, labda walikodi burundi, rwanda na congo, hawana roho ya utu hata kidogo, wana roho chungu kama ........................
 
Inasikitisha sana kuona amani inatoweka na wanaopaswa kusimamia kuwepo wakishiriki kuvunja amani.
 
WanaJF nimeongea na mdau mmoja wa Arusha anasema katika zile vurugu za Arusha kuna jamaa alimchoma visu police officer na kumuua lakini police Arusha wanafanya kila wawezalo kufunika hiyo ishu. Pia gari la maji ya kuwasha lilivunjwa vioo. Mwenye data zinazofanana na hizi atujuze tafadhari

Poor thing so sorry kwa familia ya huyo polisi kama halikuwa hajamjua Bwana Yesu Kristo kuwa mokozi wake atakuwa yupo depth of hell pamoja na shetani.
 
Kwa mbali, si mbali sana, naziona siku ambazo raia watafanya maandamano wakiwa na visu, bastola na silaha nyingine nyepesi mifukoni ili kulipiza kisasi kama si kuwadhibiti police
 
Back
Top Bottom