Mzee wa kupiga ramli upo hoi.Msikilizeni
Kuna Mambo yanathibitika taratibu
Britanicca
Mzee wa kupiga ramli upo hoi.Msikilizeni
Kuna Mambo yanathibitika taratibu
Britanicca
Mkuu,A loud mouth is not a good political leader
Type ya vijana kama hawa wapo wengi hapo CCM na wanapewa madaraka makubwa
Mwisho wa siku wanatoa siri za nchi
Kwa sasa mtamuona ni shujaa ila huu ni uasi, kwenye kazi kuna viapo how comes mtu aongee mambo mazito kiasi hiki hadharani
Kuna tatizo lipo kwenye vetting hapo CCM
Wewe ndio asili ya Watanzania halisi.A loud mouth is not a good political leader
Type ya vijana kama hawa wapo wengi hapo CCM na wanapewa madaraka makubwa
Mwisho wa siku wanatoa siri za nchi
Kwa sasa mtamuona ni shujaa ila huu ni uasi, kwenye kazi kuna viapo how comes mtu aongee mambo mazito kiasi hiki hadharani
Kuna tatizo lipo kwenye vetting hapo CCM
Mimi Huwa na note Key points na kwenye clip hii nimenote hii:Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
Una uhakika?Aliamini sana waganga wa kienyeji, na hapo hospitali alikuwa anashindwa namna ya kuwaweka.
Hakuna ambaye angebeba risk hiyo ya kumtoa Rais hospitali bila kibali cha daktari
Ila maneno yako yanatafakarisha pia.Aliamini sana waganga wa kienyeji, na hapo hospitali alikuwa anashindwa namna ya kuwaweka.
Hakuna ambaye angebeba risk hiyo ya kumtoa Rais hospitali bila kibali cha daktari
🤣🤣🤣🤣🤣 alishauri tu kuwa mgonjwa akiwa kwenye hali hii, anyweshwe maji ya bugu uhu tu.."....eti" aliwaambia nindoleeni huyu daktari, au nipelekeni nyumbani....wakagoma
View attachment 3462969
Amri ilitolewa na mgonjwa ambaye alijua zimebaki saa chache aage dunia, akapoteza kabisa uwezo wa kufikiria kwa usahihi. Tukijiweka kwenye hali aliyokuwa nayo dakika hiyo tutaweza kuona hisia za namna gani zilizokuwa ndani ya kichwa chake!.Maswali ni mengi sana, na kwa kuwa hakuna uchunguzi wowote uliofanyika kuhusu kifo chake, Mungu pekee anajua nini kilichukua uhai wake.
Wabaya wake walianza kushangilia kifo chake kuanzia tarehe 11. Huku wakisema kabisa akitoka adharani basi wao wafir*e.
Safari za wakuu zikawa hazieleweki.
Familia haijui kinachoendelea.
Mgonjwa kaomba apelekwe kwao, kakataliwa. KWA KUWA MGONJWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU, TUNASEMA KUWA AMRI YA RAIS ILIPINGWA.