Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa
Kikwete na Rostam wanapaswa kuwa jela kwa kosa la uhaini na mauaji ya Rais, ni kwa vile tu majeshi yetu yote YAMEWEKWA MFUKONI kwasasa.
 
A loud mouth is not a good political leader

Type ya vijana kama hawa wapo wengi hapo CCM na wanapewa madaraka makubwa

Mwisho wa siku wanatoa siri za nchi

Kwa sasa mtamuona ni shujaa ila huu ni uasi, kwenye kazi kuna viapo how comes mtu aongee mambo mazito kiasi hiki hadharani

Kuna tatizo lipo kwenye vetting hapo CCM
Alitahadharisha kabla "tusilaumiane"
 
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."

Siku meza ikipinduka, kuna watu watasaga meno, naona kama zile kesi za Bukina farso za kumuua Sankara zilivyokuja kutesa wahusika baada ya miaka lukuki kupita, ndo itakuja kutokea TZ na pengine mapema zaidi.
 
Kweli kabisa mkuu...
 
Kusema ukweli wa Mungu nilifuatilia sana uzi ulizingumzia hali ya kiafya mwendazake,kuna matukio mengi ya kuumizwa watu kipindi cha uongozi wake(mfano janga la bukoba mwamba alisema hakuahidi yale maafa kwenye kampeni) ili hali watu wamepoteza ndugu na mali.
Cha ajabu siku imetangazwa rasmi hatupo naye nilipata taabu kulala.
 
A loud mouth is not a good political leader

Type ya vijana kama hawa wapo wengi hapo CCM na wanapewa madaraka makubwa

Mwisho wa siku wanatoa siri za nchi

Kwa sasa mtamuona ni shujaa ila huu ni uasi, kwenye kazi kuna viapo how comes mtu aongee mambo mazito kiasi hiki hadharani

Kuna tatizo lipo kwenye vetting hapo CCM
Pole pole hayupo peke yake kabisa, Uyo ni whistblower tu Mkuu, Kuamini hii Movement anafanya peke yake ni Ujuha,

HP anawakilisha Kundi Fulani la watu ambao wamekuwa abandon na Chama kwa sasa na waliwahi ku attain nafasi za juu au nafasi sensitive Kuna taarifa anakuwa fed tu Ili aje azimwage hadharani Kuna Kundi kubwa lipo nyuma yake ila hawataki kuwa recognize na Dola au Kuingia kwenye spotlight Kwasababu wanahofia kuishi kama Digi Digi ila siku watakuja kwenye Mwanga tu Usalama wao ukiwa assured
 
Nikimuangalia na haya yanayosemwa naona anatisha mno.Kweli usiamini watu hata siku moja sikudhani kama angeweza kufanya kitu kama kile!
Binadamu huwa inafika time tunajuta sana tuliyofanya na huwa tuna wish ku confess nadhani ndio mana wameona wampambanie aende uko nje tu, Kama wameona sio Busara yeye kuwa eliminated Ili kuprotect interest za team au may be wana kazi nae uko mbeleni
 
Malipo ni hapa hapa dunia haya aliyofanya yanaweza kufika hata uko walikomconectia yakamchafua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom