Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa
Amri ilitolewa na mgonjwa ambaye alijua zimebaki saa chache aage dunia, akapoteza kabisa uwezo wa kufikiria kwa usahihi. Tukijiweka kwenye hali aliyokuwa nayo dakika hiyo tutaweza kuona hisia za namna gani zilizokuwa ndani ya kichwa chake!.

Hakuitoa hiyo amri akiwa kasimama sehemu fulani na afya yake nzuri alikuwa hoi bin taaban.
Ila akamuita padri wake, akasuhiriwa hadi mchana kabisa
 
Maswali ni mengi sana, na kwa kuwa hakuna uchunguzi wowote uliofanyika kuhusu kifo chake, Mungu pekee anajua nini kilichukua uhai wake.

Wabaya wake walianza kushangilia kifo chake kuanzia tarehe 11. Huku wakisema kabisa akitoka adharani basi wao wafir*e.

Safari za wakuu zikawa hazieleweki.

Familia haijui kinachoendelea.

Mgonjwa kaomba apelekwe kwao, kakataliwa. KWA KUWA MGONJWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU, TUNASEMA KUWA AMRI YA RAIS ILIPINGWA.
Huu msiba hawakugawana mavazi🤔🤔
 
Kazi iendelee
 

Attachments

  • 20250831_040809.jpg
    20250831_040809.jpg
    188.4 KB · Views: 28
Aliamini sana waganga wa kienyeji, na hapo hospitali alikuwa anashindwa namna ya kuwaweka.

Hakuna ambaye angebeba risk hiyo ya kumtoa Rais hospitali bila kibali cha daktari
Angekuwa anaamini ushirikina asingemuita kardinali Pengo na paroko wa Saint Peters wampe mpako wa wagonjwa.

Punguza chuki na kejeli kuna siku na wewe utakuwa kwenye kitanda chako cha mwisho ukipigania uhai wako.
 
Amri ilitolewa na mgonjwa ambaye alijua zimebaki saa chache aage dunia, akapoteza kabisa uwezo wa kufikiria kwa usahihi. Tukijiweka kwenye hali aliyokuwa nayo dakika hiyo tutaweza kuona hisia za namna gani zilizokuwa ndani ya kichwa chake!.
Yule bwana niliona ameanza kupoteza alipokuwa dhihara za mwisho yaani kuvunja jiji la dar na kufanya ilala jiji nikaona hapa ipo namana na nakumbuka niliwaambia wenzangu ofsini huyu mzee akili zinamruka au anapatwa na nini? Wakaishia kucheka ru.
 
Hivi sheria inasema Rais akiugua hatakiwi kuuguzwa na familia yake sheria inasema hawe chini ya Jeshi?
 
Sheria ya nchi inasema Rasi hatakiwi kuuguzwa na familia yake akiugua anatakiwa hawe chini ya Jeshi hata mke wake au ndugu mtoto hatakiwi kuwepo hospital wa juzi wa katiba kuna kifungu icho kama hamna kwanini familia yake haikuepo kama mke wake au mtoto wake hata mmoja?
 
Hakuna kazi rahisi kama kuwakamata nyumbu kwa viuongo visivyo na mbele Wala nyuma. Utajipigia tone tone Hadi uvimbiwe 🤣
 
Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."

Utakuta mwengine anakwambia usipoenda kanisani zambi wakati watu wanaoenda kusali au kuswali wanaongoza kwa kuua na hakuna chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom