Kosa la uhaini: Kupanga mipango ya kumuua Rais aliye madarakani (John P. Magufuli)
Wapangaji na watekelezaji: Wana mtandao: Kikwete, Membe, Rostam Aziz na wengine wengi
Chanzo cha taarifa/pa kuanzia upelelezi: Humphrey Polepole aliyekuwa msaidizi wa karibu wa Hayati Rais John P. Magufuli. He's available all the time!!
Mamlaka za kiuchunguzi na kushitaki mnasubiri nini? Hili hata Dr Emmanuel Nchimbi mgombea mwenza wa Samia anajua hili..!
--------------------
NOTE:
Kumbe:
1. Chama cha Mapinduzi - CCM kilimfukuza Bernard Membe baada ya kugundua alikuwa anapanga kumuua Rais Magufuli (sijui kwanini waliishia kumfukuza tu badala ya kushitakiwa kwa uhaini) - That was a big mistake. However, it can be corrected now...!
2. Nyuma ya Bernard Membe, walikuwepo wanamtandao wakiongozwa na Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, Rostam Aziz na wengine wengi (hawa wapo hai, wanapaswa kukamatwa na kushitakiwa kwa uhaini wa kupanga na kutekeleza mauaji ya Rais aliye madarkani...!!)
Sheria ya uhaini inasemaje?
UHAINI NA MAKOSA MENGINE DHIDI YA SERIKALI
Sheria ya Uhaini.
Na.2 ya 1970
39.-(1) Mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano
(a) akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, anamuua au anajaribu kumuua Rais; au
(2) Mtu yeyote ambaye, yumo katika ndani ya Jamhuri ya Muungano, akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, anajenga nia kusababisha au kuwezesha kusababishwa, au anajenga nia ya kuchochea, anashawishi, shauri au kuusia mtu yeyote au kikundi cha watu kusababisha au kuwezesha kusababishwa yoyote kati ya matendo au malengo yafuatayo, yaani:-
(a) kifo, kumlemaza au kumjeruhi, au kufungwa au kumzuia, Rais;
(b) kumwondoa Rais madarakani isivyo halali kutoka katika wadhifa wake wa Urais au kumwondolea ufahari, heshima na jina la Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano;
(c) kupindua kwa njia zisizo halali, Serikali ya Jamhuri ya Muungano;
Hawa wametenda makosa yote haya ktk kifungu cha sheria hii 39 (1) (a) na (2) (a - c) Wanlipanga, wakatekeleza, wakaua Rais aliye madarkani...
Nyie kina DPP na mwendesha mashikataka mkuu wa serikali kina Nassoro Katuga - kesi ya uhaini nyepesi kabisa hii hapa...
Chanzo cha taarifa kipo na kinawaita waendesha mashitaka na wachunguxzi mpewe details zote: Polepole..
Mnasubiri nini???
Mnasubiri nini...?
View: https://youtu.be/GtZS0v0W32I?si=if0CuobNGl56Ik6C